nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,281
- 3,243
....kweli ccm ni ile ile....yani watu wengine wamekataliwa na wananchi kwenye uchaguzi wa ubunge leo eti wanapewa ukuu wa mkoa!!...hii ni ajabu ya JPM...kumbe utawala huu mengi hatutaona mapya....mtu anaeshindwa kiti cha ubunge leo unampa mkoa auongoze!!..hii imekaaje hii....yani kwenye pool ya watu wake JPM amekosa kweli watu hadi anateua makapi ya utawala uliopita!!tena walioshindwa ubunge.....huku kupeana mashavu kumbe hakutaisha nchi hii....nothing has indeed changed....ni mbwembwe tu....