Rais Magufuli ateua Wakuu wa Mikoa, Makonda apangiwa Dar

kila sehemu waislamu wananyanyasika sijui tuliikosea nini hii serikali

Mna Majungu Na Uswahili ULIOTUKUKA. Badilikeni Halafu Ningewashauri Badala Ya Kila Siku Kulalamika TEUZI Za Mkristo Rais Dr. Magufuli Mngejitafakari Ni Wapi Labda Huwa Mnakosea au Fanyeni Kitu Kizuri Chenye TIJA Ambacho Hata Viongozi WAKRISTO Wa Serikalini Waweze Kukiona Kuliko Huku Kulia Lia Kwenu. Huwa Ni MVUMILIVU Hasa Katika Masuala Haya Ya UDINI Humu JF Lakini Naona Hii Tabia Ya Waislamu KULALAMIKA Bila Hoja Za Msingi Zinazidi. Kama Vipi Anzisheni Basi Nchi Yenu MJITAWALE Wenyewe. Tumewachokeni! Mwisho Nakuomba Kafanye UTAFITI Wa TEUZI Zote Alizokuwa AKIZIFANYA Rais Mstaafu Wa Awamu Ya Nne Kikwete Je WAKRISTO Tulikuwa WANGAPI? Uliona TUKILALAMIKA Hovyo? Wakristo Tokea Shuleni TUMEFUNDISHWA UVUMILIVU, USTAARABU, AMANI, NIDHAMU, HOFU YA MUNGU NA Kubwa Zaidi KUJENGA Hoja. Nimemaliza!
 
327492692e7d645fe5f6cf6a91823436.jpg
 
WAP mamangu mwantumu maiza
Kwan nin kimemponza jaman....
Yote hata lakn kusikia paul maponda kuwemo tena kapewa mkoa tena dsm.
MY DAY IS COMPLETELY COLLAPSE
 
Wapo wengi wamekalia uDC miaka na hamna cha maana hata kimoja wamefanya, bora yeye ndani ya muda mfupi kaonyesha uwezo wake na kama ataendelea hivi basi atafika mbali. Kulikua hakuna namna ya kumuacha Makonda kwenye RC
Ila alijitahidi akiwa DC kwa kiasi chake kiukweli ame deserve alikua ana jituma
 
Hata wajeda muda ulishafika!

Jeshini wanastaafu kwa umri mdogo Zaidi na wanaweza endelea na utimishi wa umma baada ya kutoka jeshini, ndio maana wanapelekwa kusimamia kamati za ulinzi ngazi za mikoa na wilaya mpaka watakapo gota umri.
 
Zelothe Stephen alifikia cheo cha Kamshina Msaidizi Mwandamizi,sasa niambie kama hicho cheo sio Kamishna sawa na useme Brigedia Jenerali sio Jenerali,mambo mengine muwe mnauliza sio kila kitu kubisha
Au kusema associate professor sio professor, kweli tuwe tunauliza
 
Wale Wale Tu, Wengi Walioshindwa Ktk Kura Za Maoni Za CCM Na Wale Walioangukia Pua Ktk Uchaguzi Mkuu Uliyopita!!!
 
huyohuyo, unamteuaje mhuni,asiye na hekima wala busara kwa nafasi kama ile. Nakumbuka ule usemi WA nambie rafiki yako nikuambie ulivyo
Hahahaha....mzee nadhani ni mapema mno kumhukum tusubiri tuone utendaji kazi wake
 
...Kubenea mbona yuko vizuri tu,toka kitambo.Ni mbunge,na bado anawadai zile fidia za mwanahalisi sijui bilioni ngapi,hivi mlishamlipa?!
billioni zipi? au ni Mwanahalis lile gazeti lililokuwa likituaminisha kwa miaka 8 kuwa Lowasa ni Fisadi?, kama yuko poa ni vyema, na sie tunapanga kumpeleka Mahakamani kwa kumzushia Lowasa ni fisadi.
 
Kama mkuu wa mkoa wa Arusha ni peter Ntibenda yule yule wa zamani mkoa uleule ata apaje tena mara mbili inawezekana kwa mkoa huo huo naomba kueleweshwa hapo jamani mim sielewi
 
Back
Top Bottom