Rais Magufuli ateua Wakuu wa Mikoa, Makonda apangiwa Dar

Christinization at its best level...

Kwa style hii hatutafika mbali...miaka kumi siyo mingi insha allah
 
Ni mapema sana P.Makonda kupewa Mkoa,huyo bado alitakiwa kua chini ya uangalizi maana hata hyo wilaya huwez kum_assess km aliimudu,Bado siasa za Mjomba za Kupeana Mkate znaendelea..
Tuache wivu, jamaa anapiga kazi...

Anahitaji tu washauri wengi wazuri, na sio wale wa Bongo Movie..

Hongera Makonda..
 
Mama Yangu Yaani Richard Kasesera Pamoja Na Kuvuka Kote Kule Mito, Kukwepa Viboko Na Mamba Huku Akikunja Suruali Zake Hadi Mapumbuni Na Kubeba Mgongoni Wanaojiweza Kuwavusha BADO TU KAUKOSA UKUU WA MKOA? Kweli Msubi ATABIRIKI.
Mkuu yawezekana akapangiwa majukumu mengine kawa Mh.aliona kuchacharika kwake.
 
...list yote bdo haijatajwa ila bwana Makonda kashakabidhiwa jiji la Dar es Salaam
Hongera sana mkuu tena sana. Mimi ni mmojawapo wa wale waliokusifu kwa wazo la usafiri bure kwa walimu. Ila sasa walimu wanakuomba uangalie ni jinsi gani ya kuwasaidia kuwawajibisha mafisadi wa CWT ofisi hii iko jirani na ofisi yako. Ukishindwa basi shauri nini kifanyike. Ninaandika haya kwa kuwa ninaimani nawewe ...
 
Watu wa Mkwere wote wamepelekwa kwenye ngome za Chadema. Magu kaamua kuwachonganisha na CCM watu wa Mkwere.

Ova
 
Back
Top Bottom