Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania amemteua Bw. Gerson J. Mdemu kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Tulia Atson mbaye kwa sasa ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.