Rais Magufuli ateua Mkuu mpya wa Wilaya ya Mvomero na Mkurugenzi mpya wa Halamashauri ya Biharamulo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,768
141,632
Rais Magufuli ametengua mkuu wa wilaya ya mvomero mkoani Morogoro mh Utaly na kumteua Albanus Mgonya kuwa mkuu wa wilaya hiyo.

Kadhalika Rais Magufuli amemteua ndugu Kombo kuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Bihalamuri.

2447801_EcKXR_JWsAA0135.jpg

Maendeleo hayana vyama!
 
Mmh! Huu sasa utakuwa ni msukumo utokanao wasiwasi juu ya uchaguzi wa mwezi Oktoba, hasa asikiapo ujio wa Lissu ama ushiriki wa Membe ktk kinyang'anyiro cha uraisi kwa kupitia chama cha upinzani.
 
Mambo hayo yapo sana katika awamu hii

Tafakari hii

Historia ya ukuaji wa pato la mwananchi wa Tz. 1990 - $200 1995 - $170

Downwards arrow

2000 - $410

Upwards arrow

2005 - $500

Upwards arrow

2010 - $720

Upwards arrow

2015 - $980

Upwards arrow

2016 - $970

Downwards arrow

2017 - $970

On with exclamation mark with left right arrow above

2018 - $1020

Upwards arrow

2019 - $1080

Upwards arrow

Je! Awamu ya 5 imetufikisha uchumi wa kati au uchumi wa kati umetufikia tukiwa awamu ya 5?
 
Barua ya Msigwa iko wapi? Ama Msigwa kajichokea sasa.
Rais Magufuli ametengua mkuu wa wilaya ya mvomero mkoani Morogoro mh Utaly na kumteua Albanus Mgonya kuwa mkuu wa wilaya hiyo.

Kadhalika Rais Magufuli amemteua ndugu Kombo kuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Bihalamuri.

Uteuzi mpya unaanza leo.
Source East Africa Radio

Maendeleo hayana vyama!
 
Mambo hayo yapo sana katika awamu hii

Tafakari hii

Historia ya ukuaji wa pato la mwananchi wa Tz. 1990 - $200 1995 - $170

Downwards arrow

2000 - $410

Upwards arrow

2005 - $500

Upwards arrow

2010 - $720

Upwards arrow

2015 - $980

Upwards arrow

2016 - $970

Downwards arrow

2017 - $970

On with exclamation mark with left right arrow above

2018 - $1020

Upwards arrow

2019 - $1080

Upwards arrow

Je! Awamu ya 5 imetufikisha uchumi wa kati au uchumi wa kati umetufikia tukiwa awamu ya 5?
OK:
Lets say Uchumi wa kati umetufikia tukiwa awamu ya nne.
Hatukutangazwa sababu waliona CHADEMA tungepanda chati saaana.
 
Rais Magufuli ametengua mkuu wa wilaya ya mvomero mkoani Morogoro mh Utaly na kumteua Albanus Mgonya kuwa mkuu wa wilaya hiyo.

Kadhalika Rais Magufuli amemteua ndugu Kombo kuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Bihalamuri.

Uteuzi mpya unaanza leo.
Source East Africa Radio

Maendeleo hayana vyama!
ni nani alikua Mkuu wa Wilaya? na kwa sasa yupo wapi?
 
Rais Magufuli ametengua mkuu wa wilaya ya mvomero mkoani Morogoro mh Utaly na kumteua Albanus Mgonya kuwa mkuu wa wilaya hiyo.

Kadhalika Rais Magufuli amemteua ndugu Kombo kuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Bihalamuri.

Uteuzi mpya unaanza leo.
Source East Africa Radio

Maendeleo hayana vyama!
Dahhh. jamaa muoga kweli! Kwa hiyo hao wateule wapya ndio watamlindia kura?
 
Mambo hayo yapo sana katika awamu hii

Tafakari hii

Historia ya ukuaji wa pato la mwananchi wa Tz. 1990 - $200 1995 - $170

Downwards arrow

2000 - $410

Upwards arrow

2005 - $500

Upwards arrow

2010 - $720

Upwards arrow

2015 - $980

Upwards arrow

2016 - $970

Downwards arrow

2017 - $970

On with exclamation mark with left right arrow above

2018 - $1020

Upwards arrow

2019 - $1080

Upwards arrow

Je! Awamu ya 5 imetufikisha uchumi wa kati au uchumi wa kati umetufikia tukiwa awamu ya 5?
Awamu hii imefikia uchumi wa kati kabla ya muda
 
Rais John Magufuli amefanya uteuzi leo na kumteua, Albinus Mgonya, kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mvumero mkoani Morogoro.

Kabla ya uteuzi huo Mgonya alikuwa Katibu Tawala Msaidzi mkoa wa Rukwa na anachukua nafasi ya Mohamed Musa utaly.

Wakati huo huo, Rais Magufuli amemteua Khachi Kombo kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya BIharamulo mkoani Kagera.

Kabla ya uteuzi huo Kombo alikuwa Ofisa Utumishi wa Manispaa ya Morogoro na amechukua nafasi ya Wendi Ng’ahala.

Uteuzi wa viongozi huo umeanza leo Julai 5, 2020 na wateule wote wanatakiwa kuwepo Ikulu Chamwino Dodoma kesho Julai 6, 2020 saa 4 asubuhi

IMG_20200705_174938_691.jpg
 
Back
Top Bottom