Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tazania, Dkt John Pombe
Magufuli amemteua Nyakimura Muhoji kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma kuanzia tarehe 17 Januari 2017. Kabla ya uteuzi huo, Bw. Muhoji alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Utumishi wa Umma Ofisi ya Rais Menejimenti na Utumishi wa Umma.
Aidhha, Rais Dkt Magufuli amemteua Prof. Saida Yahya Othman kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa kuanzia tarehe 17 Januari 2017.
Florence Temba
MKURUGENZI WA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI,
OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA,
26 JANUARI 2017.
MKURUGENZI WA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI,
OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA,
26 JANUARI 2017.