Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,137
- 48,808
Taarifa: Rais Magufuli apokea msaada wa TZS milioni 545, pia atengua uteuzi wa RAS mkoa wa Kagera na DED Manispaa ya Bukoba.
Mgao kwa nani !!?Ha ha ha, alichagua wapiga helaaa, au mgao wake hawakumpa? ??
Yataoneakana mengi sana awamu hii
Maelezo ya kutosha Anayo uncle mwenyeweMbona naona kama walikua na nia nzuri tu, au kuna account maalumu iliyotolewa na serikali? kuna hela yeyote iliyoingia kwenye hiyo account ikapigwa? mtoa mada tunaomba maelezo ya kutosha.
Yaani mtu uibe, halafu udai usalama wa kazi yako!? How pathetic!Duh hizi ajira za serekali hazina usalama kabisaaa bora house girl una nafuu sana.
Barua haina sahihi ya Gerson MsigwaTaarifa: Rais Magufuli apokea msaada wa TZS milioni 545, pia atengua uteuzi wa RAS mkoa wa Kagera na DED Manispaa ya Bukoba.
Hahahahaha huyu mzee mkoloni sana hahahahahaMgao kwa nani !!?
Wacha kuropoka kijana