Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Malinyi na na Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya hiyo

kunguni wa ulaya

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
4,132
6,100
Naona kumekucha.

1568712231021.png




Pia soma
 
Mkuu wa wilaya na Mkurugenzi wake wilaya ya Malinyi Mkoa wa Morogoro wametenguliwa kwa pamoja leo tarehe 17/9.

Raisi Magufuli ametengua uteuzi wao na nafasi zao zitajazwa hapo baadae!

Capture.PNG




Pia soma
 
Naona ametangaza vita nyingine ya kujipendekeza ndani ya UVCCM. Sasa watasifia mpaka na kuimba mapambio ili angalau waonwe. Yetu macho ila tu wasituvurugie nchi.
 
Back
Top Bottom