Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Amos Makalla. DC wa Tunduru, Juma Homera ateuliwa kuwa RC mpya

NiMekaa katavi kama jamaa katenguliwa kwa sababu ya vitambulisho kaonewa, katavi ina sehemu chache sana za biashara wengi ni wakulima na wafugaji. Ukiacha mpanda sehemu zingine za biashara ni majimoto, inyonga na sehemu zingine chache sana.
 
Back
Top Bottom