Unamaanisha nn mkuu?Ila Homera ashukuru Sana ITV kwa kumpaisha
Jamaa ukiuza sura tuu kwenye ma TV anakupa cheo.Si alisema akiwa ziara Mbeya amempeleka Katavi kwa matazamio. Ila Homera ashukuru Sana ITV kwa kumpaisha
Ni yule aliyekuwa na vituko vya kujipiga picha aonekane, au nachanganya mamboMods naomba m-edit heading...siyo mshiba ni mshipa.
Iliyopelekea,, isomeke uliyopelekea
Kwa wiki alikuwa anatokea kila siku anafanya ziara Wilaya yake ya TunduruUnamaanisha nn mkuu?
nahisi ni kutokana na wana Mbeya siku ile ya malumbano ya hoja ya ITV kumsifu Makalla na kumponda Chalamila.Soma hili
View attachment 1097857
Hapana. Huyo ni DC wa Iringa mjini anaitwa Kasesera. Huyu ni gentleman fulani sana "akili kubwa" (ameshindwa kuendana na akili ndogo).Ni yule aliyekuwa na vituko vya kujipiga picha aonekane, au nachanganya mambo
Chalamila pale Mbeya hakubaliki kabisa. Anatumia nguvu sana kuliko uhalisianahisi ni kutokana na wana Mbeya siku ile ya malumbano ya hoja ya ITV kumsifu Makala na kumponda Chalamila!
Daah! Na hivi jiwe asivyopenda wapinzani!Makalla alipokuwa Rc Mbeya aliisimamia issue ya Sugu
Asante kwa hizi hadidu za rejea