Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Amos Makalla. DC wa Tunduru, Juma Homera ateuliwa kuwa RC mpya

Kawaka makala.
Chama kina siri kubwa chama kinaaaa
Angalia KATAVI

919ab07e-b8d5-4d90-8f3b-46e63dfe2822.jpg
 
Hapana. Huyo ni DC wa Iringa mjini anaitwa Kasesera. Huyu ni gentleman fulani sana "akili kubwa" (ameshindwa kuendana na akili ndogo).
Masikini pole zake!
 
Miradi ya maendeleo imemponza huyu jamaa..Hayupo active kwenye kuisimamia.
Shule, maji na vituo vya afya inasuasua sana mkoani Katavi..Hili la vitambulisho ni njia tu ya kupitia
 
Back
Top Bottom