Influenza
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,445
- 3,378
Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi huyo, Alphonce Magori kutokana na utendaji wake wa kazi usioridhisha na nafasi yake itajazwa baadaye
Kupitia taarifa iliyotolewa na Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amewataka Wakurugenzi wote ambapo hospitali za wilaya zinajengwa kumaliza majengo hayo hadi ifikapo Juni 30 kama walivyoelekezwa
Waziri Jafo amesema atasikitishwa sana iwapo Wakurugenzi wa maeneo husika watashindwa kufikia malengo ya Serikali