Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,397
Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma Dkt. Oscar Albano Mbyuzi
> Rais John Magufuli amemteua Jimson Mhagama kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma
> Rais John Magufuli amemteua Jimson Mhagama kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma