Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Igunga kwa kutwaa ardhi ya wananchi bila kufuata taratibu

Jamaa kanipita hapa yupo na magari mengi sana ya msafara, kumbe keshakula kichwa hapo Igunga.
 
Mbuzi wa kafara huyo, hawa maDED waliwanyanyasa sana wapinzani kwa kumpendelea dikteta, acha wafukuzwe wakajifunze kulinda heshima za watu.
Mada haihusu kunyanyasa wapinzani...inahusu kutwaa ardhi ya wananchi bila utaratibu, punguza hasira
 
Jamaa kanipita hapa yupo na magari mengi sana ya msafara, kumbe keshakula kichwa hapo Igunga.
Nitapambana Na Rushwa Bila Kigugumizi Chochote Na Dawa Ya Jipu Ni Kulitumbua
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Bado na huyo Mbunge uliyemteua, huyo Mama ni mhujumu... wasaidizi wako waseme ukweli
 
Jamaa kanipita hapa yupo na magari mengi sana ya msafara, kumbe keshakula kichwa hapo Igunga.
Anaelekea Chuttle nini? Sijui ndio ataenda kututangazia kile alichoficha? Huyu mzee hana rafiki, jamaa walivyopigana vikumbo kuiba kura leo hii anamwachisha kazi mwizi mwenzake? Hivi jamaa naye akimwaga ugali inakuwaje? Halafu huu utaratibu wa Mkuu wa Mkoa kuteua kaimu DED sijui kautoa wapi? Haya si majukumu ya waziri wa TAMISEMI?
 
Back
Top Bottom