Rais Magufuli atengua uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mazingira; yeye asema ameyapokea mabadiliko kwa moyo mweupe

Binafsi nampongeza mtukufu rais kwa kazi nzuri aliyoifanya.
Kwa sababu kipindi kilichoiwa "Kujivua gamba"
tuliaminishwa kwamba waliokumbwa na seke seke wakati ule
ndo peke yao walikuwa na magamba. Kumbe kuna wakati ule usemi
wa "Nyani haoni naniliu yake" ulitumika,leo hii tumempata
mtu wa kusimama pembeni kumnyooshea kidole nyani aliyewanyooshea kidole wenzie.

Hongera sana watanzania wote wapenda amani na maendeleo.
tuendelee kumuombea rais wetu na nchi yetu kwa ujumla
tunakoelekea ni pazuri zaidi.
 
Au ameona anamtishia kumtoa uraisini?

Maskini pole yake makamba pamoja na Mambo yake aliyoyafanya.


Sasa mtifuano utakuwa mkali ndani ya sisiemu
Yetu macho
Mkuu hii unaweza kua mind game wapinzani wanatengenezewa mgombea wa Urais 2020 kutoka chama tawala halafu 2022 anarudi kundini.
Msije mkasahau hawa jamaa wengi wamesomea siasa ile yenyewe ya kitaalam kabisa, wanatengeneza tatizo ndani wanawavuruga na nyinyi mnajichanganya kwenye mgogoro wao fake mnasahau kujenga kwenu.
Mkija kukaa sawa uchaguzi umepita huku wenzenu wanagonga mishikaki ya swala wakishushia na wisk.
 
Shikamoo Dumelang mzee wa eina bora ya music
Mpk waimbe halelluia pumbavu zao, sie enzi zile tunapanga mafoleni tunampa mzee ngoyai kura za ndio tusamehewe madeni ya bodi ya mikopo, wao wako masaki wanageuza kura zetu kumpa msukuma. Sasa wakome picha ndio inaanza lazima ule wimbo wa waisome namba utimie tu shubamit

Mungu fundi bana, bible inasema hakawii kuitimiza ahadi yake. Na mtaparurana mpk mkwishe. Dhambi juwa inatafuna taratibu ila kwa uhakika mpk uiache
 
Hii ni transition period kutoka dictator uchwara kuelekea dictator mkomavu. Magufuli anahakikisha uchaguzi unaokuja anaweka watakompigia kofi na kumwimbia tu
 
Kuongoza kwa visasi ni mbaya mno
Hebu tuache unafki. Hivi January unamuingizaje tena kwenye vikao vya baraza la mawaziri na uhaini wake umewekwa wazi? Sema cha kushangaza ni kuwa yeye mwenyewe hakujiuzuri tangu siku wameamua kuandika waraka ule, au siku aliyokaa na baba yake wakajadili jinsi ya kutenda uhaini. AU hata jana baada ya clip kuvuja.
 
Alikuwa kilimo alishindwa ku deliver kwa kasi ya jiwe
Umenikumbusha nyimbo moja ya Luck Dube- Rolling stone.
Ila kama hujui unataka nini, huwezi jua upewe nini, hivyo hiyo stone ina rolling randomly, hadi wanashindwa ku track foot print.
 
Ni ngumu kusimamia kile anachokiamini, anaenda kula kiapo cha utii na kuitetea serikali kwa nguvu zote.
Mimi nahisi katenganishwa na lile kundi la kina Nape ili kulidhooisha. Hivyo kama bashe ataendelea kusimamia kile anachokiamini basi Bw Mkubwa kala wa Chuya.
 
Back
Top Bottom