Rais Magufuli atengua uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mazingira; yeye asema ameyapokea mabadiliko kwa moyo mweupe

Mtu unakula pesa za walipa kodi ili ufanye kazi uliyopewa, kumbe mtu mwenyewe hufanyi lolote la maana.
Unajichanganya, kazi ni kukubaliana na aliyekuteua au ni kufanya kazi iliyotarajiwa. Makamba was doing good his job. Sema alikuwa , sijui, I stand to be corrected, hakubaliani na some issues alizokuwa akizifanya aliyemteua!
 
Jiwe kafanya vizuri sana. Kuna watu walijimilikisha hii nchi na wakawa untouchables. Sasa TAKUKURU waanze kufukua makaburi maana watu wanafikiri kujua viingereza ndo werevu. Watanzania tuache ubinafsi. Hata kuila hii nchi tuile kwa zamu basi, wao zamu yao ilishapita, sasa hivi waachie na wenzao.
 
Mfumo..
IMG-20190720-WA0111.jpeg
 
Mzee mwenzangu nikukute hapo kwenye draft tutafakari kidogo huku tukipata kahawa
Haya yanaweza kusemwa Kama nidyo majawabu ya kashkash za kisiasa ndani ya wiki hii hasa ikihusisha wazee wastaafu na vijana machachari.

Hongera Bashe,umepigania ulaji,hongera January,umehakikisha Tz ya bila mifuko ya Plastic kuwa inawezeekana.

Karibu,tunywe kahawa hapa kwa Aziz Alli, Temeke.
Asante.View attachment 1158632
 
Good, bad, or indifferent, leo Rais Magufuli kanifurahisha saaaana. Kanifurahisha mnooo.

Huwezi kuwa na wasaliti ndani ya timu yako. Watu wa dizaini hiyo fukuza, timua, butua kabisa.

We mtu umeteuliwa kumsaidia Rais halafu unaanza kumhujumu. Tabia gani sasa hiyo?

Kama hukubaliani naye si ujiuzulu tu ile umpinge ukiwa nje kiroho safi na kwa dhamiri safi.

Huna haja ya kuchukua mshahara na perks zote zinazokuja na wadhifa wako halafu kumbe ni msaliti.

Hiyo haikubaliki hata kidogo. Naamini hata wewe mwenyewe wewe msaliti ukiwa na timu ya wasaidizi wako halafu ubaini mmoja wao anakusaliti na kukuhujumu, hutosita kumfukuzia mbali.

Ngosha leo kanifurahisha sana. Hajachelewesha mtu.

Hata kama sikubaliani na Ngosha kwenye kila kitu lakini ikija kwenye hili la huyu msaliti, nipo naye kwa asilimia kama zote. Yaani kwa asilimia 800.

Tena huyo msaliti ana bahati sana. Manake ingekuwa Magufuli ndo mimi ningemuibukia huko huko aliko na kumshikisha adabu.

Mtu unakula pesa za walipa kodi ili ufanye kazi uliyopewa, kumbe mtu mwenyewe hufanyi lolote la maana.

Umekaa tu na wenzako mkipanga mbinu za kumhujumu Rais.

Hapana aisee. Hiyo haikubaliki hata kidogo na haivumiliki hata chembe.

Fukuzia mbali wasaliti na wahujumu wote.
FAHALI WAWILI AWAKAI ZIZI MOJA #2020
 
Unajichanganya, kazi ni kukubaliana na aliyekuteua au ni kufanya kazi iliyotarajiwa. Makamba was doing good his job. Sema alikuwa , sijui, I stand to be corrected, hakubaliani na some issues alizokuwa akizifanya aliyemteua!

Ndo alivyokuambia hivyo?
 
Sasa kwa mwendo huu ndo tutegemee maendeleo endelevu kweli?

Watu wanaumizwa kwa sababu za kipuuzi kabisa!

Halafu maajabu ya nchi hii kama sio upofu wa kifikra kweli,SIMBACHAWENE ALITUAMINISHA KUWA AMESHINDWA KAZI,AKATENGULIWA,leo unamrejesha tena barazani kwa kumtoa smart minded guy J.MAKAMBA!

Yaani Simbachawene anam-replace January kweliiii???

Bashe nampa big up,ni kichwa kizuri kama hakitakuwa spoiled kama prof.Kabu na Prof.Kiti!
Kwa simbachawene mkuu kapuyanga sanaaaa. Sijui hajishtukii
 
Mambo mengi muda mchache, sasa hivi bora ukose hela ya chai ununue bando.

Naona Bashe kafungwa mdomo rasmi, sasa hivi ni mwendo wa kuimba mapambio tu.

Namshauri Bashe akatae uteuzi huo maana atakuja kudhalilishwa huko mbeleni.
Huyu Simbachawene kakubali tena kuteuliwa, haoni hata haya!!!!
Kuliko kuteiliwa kwa nafasi yoyote na baba bashite bora nibaki ombaomba stendi.
 
JPM hajui mchezo unaochezeka, he is too far to know,huwez kutengeneza maadui wengi kwa muda mfupi hivyo
We umejuaje hajui au wewe na mheshimiwa nani mwenye means ya kupata information za uhakika kuhusu nchi na ccm?

Mtu yupo ndani na deep kabisa mwaka wa nne huu au tumeshazoea kumchukulia poa na kwa taarifa haya mambo yanaonekana leo hao wote wapo kwenye rada kitambo ulikuwa unasubiliwa muda na sababu.
 
Makamba na Nape sio wa kuwaonea huruma,mmoja goli la mkono mwingine head of IT Masaki.Shwaini hao,wanyooshwe tu,kwani sh ngapi?
 
Hakuna cha mpasuko wala nini. Huwezi kufunga ng'ombe na punda Halafu wakavuta tela pamoja kwani punda huwa anapiga mluzi akifika mlimani hivyo kumfanya ng'ombe asimame. Hakiwezekani kuongoza nchi ukawa na timu ya viongozi wanafiki wenye kutaka kukuharibia kazi zako ili wao wang'are. Dawa ni kuachana nao. Watanzania tuko nawewe mheshimiwa JPM mpaka mwisho wa dahari. Come what may

Kwamba anapiga mluzi!

Hii imenianzishia siku vizuri
 
Back
Top Bottom