Rais Magufuli atatua kero ya kivuko cha Furahisha Mwanza, Daraja mbioni kufunguliwa

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,894
20,375
Rais Magufuli aliahidi na anetekeleza. Anaendelea kutatua kero mbalimbali zinazowakabili wananchi.

Jiji la Mwanza kwa sasa linazidi kunawiri na kupata mwonekano mpya kutokana na ujenzi wa Daraja la Furahisha kufikia katika hatua nzuri. Daraja hilo kwa juu wanapita watembea kwa miguu na chini vyombo vya usafiri. Kwa waliopita kwenye Daraja la Manzese wanapata picha ila hili la Furahisha ni la kipekee kutokana na jinsi lilivyonakishiwa.

Nani kama Magufuli?
Nani kama CCM?
img1493898319623.jpg


Picha kwa Hisani ya Millard Ayo
 
Nimelipenda, sio expensive saana kama yale ya ubungo,manzese!

Haya mambo ya misaada ni taabu tupu, tunajenga gorofa la kukaa 200yrs , wenzetu wanajenga la bei rahisi ambalo litakaa hata 40-50yrs, wakijua after that hiyo sehem itakuwa na maendeleo makubwa sana na hilo daraja halitafaa tena
 
Huu uzi umakaa Kishabiki sana. Kwa hiyo Hilo Daraja la hapo Furahisha ni bora zaidi kiliko Madaraja yote Tanzania? Maana nasoma naona umelilinganisha na daraja la Manzese na kusahau Dar kwa sasa ina Madaraja mengi huwezi hata kuhesabu
 
Hospital na vituo vyote vya afya vya serikali hazina madawa na vifaa tiba..

Mfumuko wa bei za vyakula ni mkubwa na hakuna tamko lolote la serikali la kuudhibiti..
Leo hii unga wa mahindi ni bei kubwa kuliko Petroli??

Ngoja maskini wa nchi hii wakakusanyike hapo daraja la furahisha ( mradi wa jk) labda watashiba na kupata madawa.
 
Mara ya mwsho kupita hpo lilkuwa bdo halijapakwa nakshi so kazi nzuri ya Nyanza Road Work, mkandarasi mzawa
 
Back
Top Bottom