Rais Magufuli ataokoa fedha kiasi gani katika vyeti feki nchini?

MEXICANA

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
1,776
2,038
Kuna wafanyakazi wengi sana wa serikalini wenye vyeti feki vya taaluma.Naimagine tu ni kiasi gani cha fedha wanachota hawa jamaa ambazo sio haki yao.
PRECAUTIONS.
Vifo vingi sana vya gafla kwa watumishi wa umma vitatokea kutokana na heart atack.
EVIDENCES
  • kwa ma dc
  • rc
 
Haiokoi pesa. Wakiondolewa wataajiriwa wengine kwa idadi hiyohiyo. Ila Italeta ufanisi zaidi na tija sio kupunguza gharama
 
Awamu hii tutaheshimiana tu, wale wanaokula gambe kila cku, gari tatu za kutembelea na wakati mshahara laki 5.. Mkianza kuziuza mnitafute sabab huku nilipo maaskar wanauza sana vyombo vyao vyakutembelea kwa bei chin
 
Kuna wafanyakazi wengi sana wa serikalini wenye vyeti feki vya taaluma.Naimagine tu ni kiasi gani cha fedha wanachota hawa jamaa ambazo sio haki yao.
PRECAUTIONS.
Vifo vingi sana vya gafla kwa watumishi wa umma vitatokea kutokana na heart atack.
EVIDENCES
  • kwa ma dc
  • rc
Aisee mkuu unafanya watu wasipate usingizi hii maada ungesubiri kwanza dah, mpaka nawaonea huruma manyang'au wanaokula hela bila kujionea aibu.
 
Mkuu kuna maelfu ya wafanyakazi mamluki serikalini,haswa waalimu,polisi na wauguzi.Ni hatari yani.
Mkuu kuna maelfu ya wafanyakazi mamluki serikalini,haswa waalimu,polisi na wauguzi.Ni hatari yani.
Hivi wakikufwata ukawaonyeshe hao watu uko tayari au umeamua kuwasema kwaajili ya chuki binafsi.Samahani naweza pata mawasiliano nawewe
 
Hawa watu siku zote ndio wezi na wapiga dili wakubwa.
Wengi ni kutoka kanda ya Ziwa na ukanda wa Pwani.
Wana majina yanayojirudia sana.
Cheti kimoja kinatumika zaidi ya mara nne.
Ni aibu kwa kweli kwa taifa kuwa na wezi wa vyeti na mishahara hewa.
Hawa watu ni hatari bora washugulikiwe kama kweli serikali iko sirias.
Wana madhara makubwa kwa taifa kwani kila wanapopata fursa ya kuiba wanafanya hivyo. Na wengine ni wale wanapoajiriwa kwenye taasisi za kibenki na ndani ya majeshi wanashirikiana na majambazi.
Hawana uchungu na taaluma zaidi ya kuwaza namna ya kuchota mapesa ili hata wakifukuzwa iwe sawa tu wamesha toka kimaisha. Hawawazi kutumikia taifa kwa muda mrefu na kwa uadilifu bali kutumikia muda mfupi na kupata fedha.

Hawa watu watumbuliwe tu ili kuleta nidhamu na kuithamini ajira na kazi.
 
Kuna wafanyakazi wengi sana wa serikalini wenye vyeti feki vya taaluma.Naimagine tu ni kiasi gani cha fedha wanachota hawa jamaa ambazo sio haki yao.
PRECAUTIONS.
Vifo vingi sana vya gafla kwa watumishi wa umma vitatokea kutokana na heart atack.
EVIDENCES
  • kwa ma dc
  • rc
MaDC na RCs wamefanya nini
 
hadi sahv tmepoteza madc 2 kwa pressure na RC mmoja wa moro kapatwa na mtindio wa ubongo.
 
Back
Top Bottom