Rais Magufuli atamwachia mrithi wake zigo hili

mafutamingi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
2,772
2,171
Rais Magufuli alipoingia madarakani alikuta JK amemwachia zigo la watumishi hewa, vyeti feki n.k.

Rais Magufuli alilalamika sana kuhusu zigo hili ambalo bahati nzuri amefaikiwa kulitatua.

Nionavyo mimi Rais Magufuli naye atamwachia mrithi wake zigo la Wamachinga waliovamia barabara za mijini na kutandaza biashara zao pale bila wasiwasi yoyote kwa kuwa kuna mari iliyotoka kwamba wasibugudhiwe.

Sehemu za parking zimevamiwa hivyo kukosesha mapato kwa Halmashauri za miji. Yaani ni total anarchy.

Kwa hakika hali hii isipobadilika hili litakuwa mojawapo ya zigo ambalo Rais Magufuli atamwachia mrithi wake.
 
Napata mashaka Kama kaweza kutatua hiyo ya vyeti feki

Yeye mwenyewe amenukuliwa akisema haangalii vyeti feki anaangalia utendaji wa mtu
 
JPM alipoingia madarakani alikuta JK amemwachia zigo la watumishi hewa, vyeti feki n.k. JPM alilalamika sana kuhusu zigo hili ambalo bahati nzuri amefaikiwa kulitatua. Nionavyo mimi JPM naye atamwachia mrithi wake zigo la Wamachinga waliovamia barabara za mijini na kutandaza biashara zao pale bila wasiwasi yoyote kwa kuwa kuna mari iliyotoka kwamba wasibugudhiwe. Sehemu za parking zimevamiwa hivyo kukosesha mapato kwa Halmashauri za miji. Yaani ni total anarchy. Kwa hakika hali hii isipobadilika hili litakuwa mojawapo ya zigo ambalo JPM atamwachia mrithi wake.
.....you mean if (a very big if) atamwachia mtu ofisi ile!
 
Kumbe waTanzania skuizi wamekua zigo...!!??
FB_IMG_1552328581505.jpg
 
JPM alipoingia madarakani alikuta JK amemwachia zigo la watumishi hewa, vyeti feki n.k. JPM alilalamika sana kuhusu zigo hili ambalo bahati nzuri amefaikiwa kulitatua. Nionavyo mimi JPM naye atamwachia mrithi wake zigo la Wamachinga waliovamia barabara za mijini na kutandaza biashara zao pale bila wasiwasi yoyote kwa kuwa kuna mari iliyotoka kwamba wasibugudhiwe. Sehemu za parking zimevamiwa hivyo kukosesha mapato kwa Halmashauri za miji. Yaani ni total anarchy. Kwa hakika hali hii isipobadilika hili litakuwa mojawapo ya zigo ambalo JPM atamwachia mrithi wake.
Ikulu atamwachia Kange Lugola

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya Magufuli inapromote sana uchuuzi kama njia ya kupunguza tatizo la ajira. Matokeo yake miji yote imekuwa kama magulio ya kijijini Sitimbi
 
Hill ndo tatizo ninaloliona. Sidhani kama mrithi wake ataendeleza Machinga economy.
Serikali ya Magufuli inapromote sana uchuuzi kama njia ya kupunguza tatizo la ajira. Matokeo yake mini yote imekuwa kama magulio ya kijijini Sitimbi
 
Back
Top Bottom