Rais Magufuli atafuta leseni ngapi za wachimbaji?

Happy nation

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
679
591
Naona kuna wimbi la wananchi kurudi na kuvamia maeneo ya migodi ya dhahabu,nasikia hata Mererani nao wameanza kudai maeneo ambayo mwekezaji alifukia na halitumii,sasa swali JPM atafuta leseni zote kuridhisha wananchi walio wengi?

Mimi naona ameanzisha kama yale mapinduzi iliyoanzia Tunisia.
 
Jpm anatetea wananchi wake miaka 55 matajiri wanatetewa ngoja na wanyonge tupate haki yetu.
 
Back
Top Bottom