Happy nation
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 679
- 591
Naona kuna wimbi la wananchi kurudi na kuvamia maeneo ya migodi ya dhahabu,nasikia hata Mererani nao wameanza kudai maeneo ambayo mwekezaji alifukia na halitumii,sasa swali JPM atafuta leseni zote kuridhisha wananchi walio wengi?
Mimi naona ameanzisha kama yale mapinduzi iliyoanzia Tunisia.
Mimi naona ameanzisha kama yale mapinduzi iliyoanzia Tunisia.