Ujumbe wa maandishi wa Mh. Rais John Pombe Magufuli umewasilishwa na Mh. Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan kuusoma kama ulivyo huku ujumbe ukiwakilishwa wa wakuu wa nchi ktk kikao cha mtandaoni kupitia mkalimani .
Kwa kuwa ujumbe wa Mh. Magufuli uliwasilishwa kwa lugha mojawapo rasmi ya kikazi ya Jumuiya ya EAC na hapa ni kiSwahili hivyo ikalazimika mkalimani kutumika kuiwasilisha ktk lugha nyingine rasmi ya Jumuiya ya EAC ambayo ni Kiingereza.