Rais Magufuli ashangazwa na Mstahiki Meya wa Kinondoni Boniface Jacob kutohudhuria Biafra

Watajitambua wakiwa wamechelewa kwa kujisahau na wanachokifanya huku posho hawaachii...
 
hahahah hapo inaonyesha wazi kuwa upinzani labda unashirikiana na majambazi na ndio maana haupendi tukio kama hili la leo. inawezekana kabisa baadhi ya majambazi ni wafadhili. hakuna maelezo mengine tunayoweza kutoa wajameni kwa sababu hata kama kuna burning issues za kisiasa, lazima kupembua matukio. tukio la leo ni la kitaifa na sio kisiasa wala kichama. tubadilike
Punda halazimishwi kunywa maji bali kubeba mzigo!!!
Kama polisi ni big deal angewatuma wakamvurumishie mabomu kwa "kukataa kunywa maji"

Ccm mnalo.
 
Mleta mada ni kana kwamba umeangalia hiyo Taarifa pake yako,wengi tumetazama na tumepata picha tofauti...Ile ilikuwa ni gear ya JPM kumuita Madabida(Muuza ARV Fake)Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dsm aliyekuwa meza kuu.

Alimuita,lkn akashtuka kuwa kakiuka protocol kwa kutaka kumuitwa Mwenyekiti wa CCM wakati Meya anaweza kuwepo,hata ita yake ilikuwa kana kwamba hajui Meya wa K'ndoni ni nani?Maana Rais alisema hivi Meya wa Kinondoni yupo?anaitwa nani vile...Wakamwambia Jacobo,Rais akasema nani jina lake!?Maana sijui jina lake...Baadae akaita akasema Meya huko ulipo njoo hapa(Wakati ilitakiwa ajuwe kwa tukio lile Meya alipaswa kuwa HT kuliko hata Madabida)

Na ukitaka kujuwa Rais ni "mchonganishi" akasema Meya wa Kinondoni hayupo naona hachukii ujambazi na uhalifu,Akaongeza "Karibu mwenye kiti wa CCM mkoa,wewe upo hapa sababu unachukia majambazi na uhalifu"...(akasahau huyo Madabida ana tuhuma ya uhalifu ya kutuuzia ARV fake ambayo yeye JPM kakataa kulipa fidia baada yakusema kesi ya kimagumashi kwa Madabida kushinda)

Kwa aibu akasema hakuna diwani wa CHADEMA?Akapanda jamaa mmoja hivi diwani wa chadema,alipotaka kuongea KIKWETE akachomeka akamwambia "Sema Magufuli hoyeee"...Jamaa akawa anasita,Kikwete akasisitiza...Sema Magufuli hoyeee!!Jamaa ikabidi aseme "Magufuli hoyeee"..Halafu akamgeukia JK akamwambia "Umeridhika sasa niliposema Magufuli hoyeee"

Baada ya pale jamaa alitoa salamu,na kusema mimi ni Chadema na sisi Chadema tunachukia uhalifu.Kwa hiyo mtoa mada watu tulikuwa makini kuangalia...Na kuna kitu leo tumeendelea kujifunza juu ya JPM na siasa za Tz
 
Leo kapewa heshima ya kutambuliwa kajifanya kaingia mitini kwa kuleta siasa..kesho asipotambulishwa mtasema kakosewa heshima..nyie mnaanza michezo ya kisiasa magufuli anamalizia..ingawa nyie ndio huwa wa kwanza kulia pia
kama unakiri kuwa hakuwa anatambulishwa kwa nini usidhani ndio sababu ya kutokuja kwake?halafu unajuaje kama magufuli anahamu absence ya Jacob ndo maana amejipigisha butwaa
 
hahahah hapo inaonyesha wazi kuwa upinzani labda unashirikiana na majambazi na ndio maana haupendi tukio kama hili la leo. inawezekana kabisa baadhi ya majambazi ni wafadhili. hakuna maelezo mengine tunayoweza kutoa wajameni kwa sababu hata kama kuna burning issues za kisiasa, lazima kupembua matukio. tukio la leo ni la kitaifa na sio kisiasa wala kichama. tubadilike
Leo ndio mnajua kuna burning issue zisizo za kisiasa.
 
UKAWA wanapotea kwenye mioyo ya watanzania muda si mrefu, si mambo ya kugomea haya
 
Yule hakuwa diwani wa chadema kapachikwa na wana ccm aonekane ni diwani wa chadema , watu tunafanya kazi hakuna siasa sasa hivi mpaka 2020
 
Mleta mada ni kana kwamba umeangalia hiyo Taarifa pake yako,wengi tumetazama na tumepata picha tofauti...Ile ilikuwa ni gear ya JPM kumuita Madabida(Muuza ARV Fake)Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dsm aliyekuwa meza kuu.

Alimuita,lkn akashtuka kuwa kakiuka protocol kwa kutaka kumuitwa Mwenyekiti wa CCM wakati Meya anaweza kuwepo,hata ita yake ilikuwa kana kwamba hajui Meya wa K'ndoni ni nani?Maana Rais alisema hivi Meya wa Kinondoni yupo?anaitwa nani vile...Wakamwambia Jacobo,Rais akasema nani jina lake!?Maana sijui jina lake...Baadae akaita akasema Meya huko ulipo njoo hapa(Wakati ilitakiwa ajuwe kwa tukio lile Meya alipaswa kuwa HT kuliko hata Madabida)

Na ukitaka kujuwa Rais ni "mchonganishi" akasema Meya wa Kinondoni hayupo naona hachukii ujambazi na uhalifu,Akaongeza "Karibu mwenye kiti wa CCM mkoa,wewe upo hapa sababu unachukia majambazi na uhalifu"...(akasahau huyo Madabida ana tuhuma ya uhalifu ya kutuuzia ARV fake ambayo yeye JPM kakataa kulipa fidia baada yakusema kesi ya kimagumashi kwa Madabida kushinda)

Kwa aibu akasema hakuna diwani wa CHADEMA?Akapanda jamaa mmoja hivi diwani wa chadema,alipotaka kuongea KIKWETE akachomeka akamwambia "Sema Magufuli hoyeee"...Jamaa akawa anasita,Kikwete akasisitiza...Sema Magufuli hoyeee!!Jamaa ikabidi aseme "Magufuli hoyeee"..Halafu akamgeukia JK akamwambia "Umeridhika sasa niliposema Magufuli hoyeee"

Baada ya pale jamaa alitoa salamu,na kusema mimi ni Chadema na sisi Chadema tunachukia uhalifu.Kwa hiyo mtoa mada watu tulikuwa makini kuangalia...Na kuna kitu leo tumeendelea kujifunza juu ya JPM na siasa za Tz
Msingi mkuu ni meseji kufika kuwa ni vigumu kushirikiana na wanaovunja misingi ya demokrasia
 
Back
Top Bottom