Rais Magufuli ashangaa makanisa na misikiti kufungwa, ataka viongozi walioifunga ndio wasiende waumini waende. Hata minada, masoko waende wasizuiwe

Hata yeye ni muumini wa kanisa, usisahau hilo.

Kama yeye hana haki ya kutoa ushauri basi hata wewe huna haki.
acha ku-support hii maneno italeta vurugu nyumba za Ibada utii wa mamlaka zilizopo ni muhimu! Kumbuka jamaa kasema inakuwaje viongozi wanafunga nyumba za Ibada ambazo zimejengwa na waumini? Je principle hiyo ni upande wa imani tu au na hata serikalini kwamba wananchi nao waende kinyume na uongozi kwa vile serikali inaendeshwa na kodi zao?
 
Kusali waweza sali popote kuabudu lazima iwe kanisani sababu kanisani ndiko kuna altare au madhabahu knisani watubhawaendi kusali tu huenda pia kuabudu
Unaenda kuabudu altare,madhabahu au Mungu?je madhabahu haiwezi tengenezwa popote?
 
Unaenda kuabudu altare,madhabahu au Mungu?je madhabahu haiwezi tengenezwa popote?
Kwa hiyo unataka kuchonga ya kwako? Hiyo haitakuwa madhabahu Bali kinyago.

Tunaenda kuabudu Mungu aliyeko madhabahuni au kwenye altare
 
Kwa hiyo unataka kuchonga ya kwako? Hiyo haitakuwa madhabahu Bali kinyago.

Tunaenda kuabudu Mungu aliyeko madhabahuni au kwenye altare
Hiyo ya kanisani imechongwa na nani?Mkuu Mungu yupo popote.Biblia yangu inaniambia Mungu ni roho na wanaomwabudu wanapaswa kumwabudu kwa roho na kweli,na haijasema yupo madhabahuni so ukamwabudu huko.
 
Hiyo.ni kwa Mujibu wa imani yako ya kwangu Mungu huwepo madhabahuni kanisani siku za ibada naenda kumwabudu kanisani alipo
 
Hata yeye ni muumini wa kanisa, usisahau hilo.

Kama yeye hana haki ya kutoa ushauri basi hata wewe huna haki.
Makanisa yako mengi. Anaweza kusali kokote atakako au kasahau kuwa kuwa kuna mengine mengi tu kashawahi kwenda !? Kama vipi mkumbusheni. Ila kuwaburuza akawaburuze wale wajinga anaowapa mkate.
 
Wewe siyo "minyoo" Tu na kipindupindu kabisa.

Muislam you aliyelazimishwa aende au asiende akasali msikitini?

Acha kuharahara hovyo unatapakaza minyoo na kipindupindu bila sababu.
Kafungue kwanza msikiti wa kwa Mtoro.
 
Kazi ya mtumishi wa Mungu ni kuhimiza watu waende kumwabudu Mingu Kanisani ambako ndipo madhabahu au altare ya Mungu ipo

Mtumishi wa shetani kazi yake kuzuia watu wasiende kuabudu Mungu Kanisani
Magufuli ni mtumishi wa Mungu sababu anahimiza watu kwenda kuabudu kanisani
Askofu Niwermugizi na papa no watumishi wa shetani sababu wanazuia watu kwenda kuabudu Mungu kanisani
 
Back
Top Bottom