Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Kama kuna jambo ambalo umenifurahisha ni hili la kuzuia Beach yetu kumilikiwa na mtu binafsi yaani Manji na ukasema Coco Beach haitauzwa maadamu wewe ni Raisi wa JMTZ lakini wasiwasi wangu ni mmoja tu, hawa Wafanyabiashara kama Manji wana uzoefu mkubwa sana na Viongozi wetu wa kisiasa inawezekana kabisa Manji amesalimu amri lakini kwa sasa na anangojea siku ukitoa mguu Ikulu kuirudia Beach yetu, Je hapa suluhisho ni nini? Je kuna uwezakano wa kuimiliksha hiyo Beach kwa wakazi wa Dar nasema tu ila sielewi utekelezi wa hilo ukoje, nawaza tu jinsi ya kuweza kuzuia hii Beach kuuzwa kwa mtu binafsi na kuibakiza mikononi mwetu milele, tufanyeje?