Rais Magufuli asali kanisa la Wasabato(SDA) Magomeni

weng hawakunielewa !kuna makanisha yanatabia za kuingiza sana siasa makanisan km kanisa fulan !mie na kurud nyuma kwangu sijawah sikia siasa za mahubiri kwa wasabato ! huo ni ukweli tupu hutasikia mchungaj anahubiri kumsifia rais had mwisho wa iobada sda hakunaga hizo nakuambia !wanahubiri neno watu watubu wamjue Mungu wao
Swala la fundraising katika hilo kanisa limekuwa na mvutano mkubwa sana. Kipindi cha karibia na uchaguzi, walitaka kumualika EL ila wakaona it would cause political unrest ndani ya kanisa, kwa vile yule alikuwa anautaka uraisi.

This time it's different, huyu tayari ni raisi, japo yupo pale kwa mgongo wa siasa lakini hana mvutano tena, binafsi naona it's fine yeye kuja kuabudu na sisi, hakuna ubaya yeye kuja kuabudu na sisi, wazee na wachungaji kumsifia n kuisifia serikali hilo ni kawaida. Hata kama serikali ina mapungufu, hawawezi kuyasema wazi mbele ya halaiki.

Aje aabudu, kama kuna sehemu anakosea huenda injili ikamuingia akabadilika. Hata Yesu hakuja kwa ajili ya wasafi, bali wenye dhambi.
 
nimekuelewa !
 
Umsema nini. ?

Hili kanisa lililoanzishwa na Nabii Mke Ellen G White pamoja na vikundi vingine vya Miller na Joseph Bates..???

Unaakili timamu kweli wewe..?
Yaani wanawake waliowazaa Mtume Mohammad, Ellen G. White na Muasisi wa Mashahidi wa Yehova waliikomesha dunia. Ni bora hawa mashahidi wa Yehova wameshtukiwa mapema ila kwa hao wengine kazi ipo
 
wasabato hatunaga kunyenyekea ujinga ujinga ! naamin hilo ! asali kwa raha zake !asepe akisanue atuachie kanisa letu
Hakuna msabato kama wewe

Umejaa chuki wakati sisi wasabato biblia ambayo ndo mwongozo wetu inatuasa kuwaombea wanaotuudhi.

Tubu dhambi usije ukaikosa mbingu
 
Back
Top Bottom