Rais Magufuli asali kanisa la Wasabato(SDA) Magomeni

Msabato wa kweli huwa hakereki kuona muumini wa dini nyingine akienda kusali kanisani hapo bali anafarijika kuona watu wanajirudi sabato. Sasa nashangaa wanaotoa mapovu kuona magu anasali sabato
Si wanajua ni usanii,na leo atarud ST PETER

May Allah bless Me and You
 
Hakuna cha usanii,mwenye kuufahamu huo usanii ni mhusika mwenyewe hata waumin wa kawaida sio wote wanaoenda kanisani kusali,wengine wanafata mambo yao hapo
Si wanajua ni usanii,na leo atarud ST PETER

May Allah bless Me and You
 
Come on Mbiti!!


weng hawakunielewa !kuna makanisha yanatabia za kuingiza sana siasa makanisan km kanisa fulan !mie na kurud nyuma kwangu sijawah sikia siasa za mahubiri kwa wasabato ! huo ni ukweli tupu hutasikia mchungaj anahubiri kumsifia rais had mwisho wa iobada sda hakunaga hizo nakuambia !wanahubiri neno watu watubu wamjue Mungu wao
 
Kumbe nawe ni msabato..!!

Ngoja nifikirie tena ule uamuzi wa kuwa msabato


mamy usihukumu usije hukumiwa !tua mzigo ulionao we songa mbele !mie ni msabato wa kuzaliwa pure!nimehamia RC sio muda sana ! usinifate mie muangalie YESU wako alokufia msalabani
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hakuna cha usanii,mwenye kuufahamu huo usanii ni mhusika mwenyewe hata waumin wa kawaida sio wote wanaoenda kanisani kusali,wengine wanafata mambo yao hapo
Hao wapo kundi la wasanii.
Hata miskitini kuna wanaokuja kwa KAZI MAALUM

May Allah bless Me and You
 
I don't want to judge, ila kauli zake na matendo yake muda mwingine zinakinzana sana.

Kama ameamua kumrudia Mungu kutoka rohoni mwake basi Mungu atamrehemu.

Kama ni kutafuta "kiki" na "public sympathy" kwa wasabato na umma kwa ujumla, atavuna anachopanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom