Rais Magufuli aridhia Jaji Mwendwa Judith Malecela kujiuzulu

Nafasi hiyo apewe le mutuz.......familia ya malecela sijui imemkosea nini magu....alianza mama wakafata watoto
 
w
Magufail soon nae atajiuzulu.
Ajiuzulu kwa lipi? Nimesikia huko Dominica wamezuia shehena fulani halali ya dhahabu isitoke hadi mkataba uliokuwepo upitiwe upya. Ni kama ameshaweka dira ya kimataifa hivi ya mataifa machanga kujikwamua toka mikataba mibovu. Mheshimiwa hatajiuzulu kwa sababu wananchi wengi bado wanampenda na wanamuunga mkono mimi nikiwa mmoja wao. Achana na tafiti za "Twaweza."
 
Unaishi zama za mawe wakati watu karibu tutaachana na matumizi ya nishati ya mizoga.
 
Ni kazi ngumu kwa muumini wa kufanya kazi kwa weledi kudumu katika zama za huyu ndugu yetu wa makinikia
Wala RUSHWA wengi wataondoka wenyewe kidogo kidogo na wale ambao wanaona maslahi yao yako mashakani
 
Alikuwa mgonjwa nadhani ndio sababu.

IMG_6223.JPG

kweli mgonjwa, kavaa yeboyebo
 
Back
Top Bottom