Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 11,239
- 14,072
Maneno yako sio ya kweli.Mkuu hao kanisa katoliki wanajulikana kwa unafiki hatuwashangai. Kwa yanayoendelea nchini hivi sasa angekuwa Rais ni Muislam ungeona kukithiri kwa matamko ya kanisa dhidi ya utawala. Huyu wa sasa ni mwenzao wamefyata mikia yao kama hawapo vile.
Kama una kumbukumbu, Muadhama Kardinari Pengo aliwahi kutoa tamko la kumwelezea
Raisi Kikwete kuwa ni "chaguo la Mungu" na wengi walimpinga sana.
Halafu unatoa kauli za jumla kuwa
"hao Kanisa Katoriki wanajulikana kwa unafiki"
Unamaanisha Wakatoriki wote ni wanafiki.
Wewe sema nani alifanya unafiki gani na lini, ndio utaeleweka na wasomaji wako.