Rais Magufuli apiga marufuku Wizara ya Madini kutoa Leseni mpya za madini

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,399
Rais Magufuli ameiagiza Wizara ya Madini kutotoa leseni mpya kwa wawekezaji wakubwa wa madini mpaka atakapotoa tamko rasmi.

Taarifa zaidi kukujia.....
 
Rais Magufuli ameiagiza Wizara ya Madini kutotoa leseni mpya kwa wawekezaji wakubwa wa madini mpaka atakapotoa tamko rasmi.

Taarifa zaidi kukujia.....
hana pa kupiga wenzie mkapa na kikwete walishapiga wakamaliza
 
Kwani alitegemea kuna mwekezaji mpya atakuja wekeza hapa wakati wale wa zamani wanasumbuliwa
Wanasumbuliwa na nani? Shughuli zao zimesimamishwa kwa muda ili kuweka utaratibu vizuri maana watangulizi wa Magufuli walifanya utumbo kwenye mikataba
 
Back
Top Bottom