Rais Magufuli apiga marufuku viongozi wa CCM kuitwa Waheshimiwa

Habari wanajamvi la JF,

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais John Magufuli ameelekeza ni marufuku kwa kiongozi yeyote wa CCM kuitwa mheshimiwa

Ataka aitwe ndugu au Komredi.
Mitaani tumezoea ni aje brazaa?
 
Habari wanajamvi la JF,

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais John Magufuli ameelekeza ni marufuku kwa kiongozi yeyote wa CCM kuitwa mheshimiwa

Ataka aitwe ndugu au Komredi.
Uzuri walioanzisha ni hao hao
 
Habari wanajamvi la JF,

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais John Magufuli ameelekeza ni marufuku kwa kiongozi yeyote wa CCM kuitwa mheshimiwa

Ataka aitwe ndugu au Komredi.
Zamani tulikua tunaitana ndugu, wabunge wa CCM wakaja juu wakapitisha sheria waitwe waheshimiwa nchi haikubadilika wala hawakuongeza tija ya utendaji kwa kuitwa waheshimiwa wala hakuna maendeleo yaliyopatikana kwa wao kuitwa waheshimiwa kama ambavyo hakuna litakalobadilika kwa wao kurudi kuitwa au kuitana ndugu. Maneno au majina ya kuitana wanasiasa hayaendelezi nchi ila matendo ndio huedeleza au huipoteza nchi.
 
Labda hii kauli itafanya ajira ziongezeke

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom