Rais Magufuli apendekeza soko kuu la Dodoma liitwe Soko kuu la Ndugai

Rais Magufuli ametoa pendekezo kuwa soko kuu jipya linalojengwa jijini Dodoma liitwe Soko kuu la Ndugai.

Hii ni kstika kuenzi mchango wa Spika Job Ndugai wa kuuletea maendeleo ya haraka mkoa wa Dodoma

Source TBC
Hii ni rushwa kama rushwa ya ngono. Haiwezekani mhimili unaofanya kazi ya Oversight uhongwe vitu vidogo vidogo na mhimili unaofanya kazi za kiutendaji. Hapo hoja yoyote mbaya Sab-woofer lazima ataizima kulinda hiyo hongo aliyoahidiwa.

Ndugai ajiuzulu ili apewe uwaziri kabisa.
 
Mheshimiwa wetu raisi wa Tanzania ashauriwe kuacha kupendekeza majina ya miradi mbalimbali inayokamilika wakati wa utawala wake,kwani kupendekeza kwa mkubwa ni amri.Daraja la kigamboni,uwanja wa ndege terminal 3,mradi wa umeme wa rufiji na sasa soko kuu Dodoma vyote hivyo kapendekeza yeye nadhani inatosha aache mamlaka zingine zifanye hiyo kazi .
 
Back
Top Bottom