Rais Magufuli apata kifungua kinywa na Trafic wa Dar es Salaam leo baada ya kutoka kanisani

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
IMG-20180923-WA0009.jpg

IMG-20180923-WA0008.jpg

trafic.jpg
 
Asante kwa taarifa hii nzuri sana kwamba watu wasione hajajihusisha na mazishi ya kitaifa, yeye bado anatimiza kauli mbiu ya #HAPAKAZITUU kwa kunywa chai na wenzetu TRA wa barabarani.
Nashangaa watu wamekuvamia kwa matusi na kejeli utadhani umeleta jambo baya jukwaani.
Tumpongeze Rais wetu kwa moyo huo wa kuwatambua wakusanya mapato wetu wapya wa barabarani, na niwaombe humu jamvini badala ya matusi tumpongeze mleta mada kwa kuliona hili la mzee kupiga tea na majembe yetu!
 
Back
Top Bottom