Rais Magufuli aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Mjini Dodoma

nadhani agenda ni kupunguza mishahara ya wafanyakazi hususani walimu maana ni mikubwa mno
 
Mbona ume 'exempt' Richmond?au unaogopa kukosa bakuli la uji na kipisi cha bange?

Uwe "unachomoka" kwanza kwenye kitu chenye ncha kali ulichokalia kabla hujakimbilia kujibu post za kiume,nitaiachaje Richmond wakati Richmond ni zao la majadiliano ya baraza la mawaziri lililoongozwa na Kikwete?Siwezi kuacha kuitaja kampuni inayolitafuna Taifa mabilioni ya shilingi.Richmond ni aibu ya serikali ya CCM,mlipoamua kumtoa sadaka Mh.Lowassa,mliitakatisha Richmond na kuiita Dowans na sasa Symbion Power,hadi leo serikali inailipa Symbion mabilioni ya shilingi,lakini kwa sababu tatizo lilikuwa ni "Uwaziri mkuu" wa Mh.Lowassa,hakuna hata mmoja anayehoji mabilioni yanayokombwa na Symbion kila siku kupitia mitambo ileile ya Richmond tulioaminishwa kuwa ilikuwa ni mitambo chakavu.
 
Vitu kama hivi CHAGADEMA Hutaviona
wao wakisha kaa chumbani Watu 3 Tayari maamuzi
Haya ngoja tusubiri maamuzi ya viwanda mwaka wa 53huu kama ni ndevu basi zina mvi bado tunapiga kwata kuuzunguka mbuyu wakati wenzetu wakiwa na mpango wa kwenda kuishi sayari nyingine
 
..agenda kuu inatakiwa iwe uhakiki wa vyeti vyao...maana wameganda na uhakiki wa RAIA wakati wao wanalindana...
 
Uwe "unachomoka" kwanza kwenye kitu chenye ncha kali ulichokalia kabla hujakimbilia kujibu post za kiume,nitaiachaje Richmond wakati Richmond ni zao la majadiliano ya baraza la mawaziri lililoongozwa na Kikwete?Siwezi kuacha kuitaja kampuni inayolitafuna Taifa mabilioni ya shilingi.Richmond ni aibu ya serikali ya CCM,mlipoamua kumtoa sadaka Mh.Lowassa,mliitakatisha Richmond na kuiita Dowans na sasa Symbion Power,hadi leo serikali inailipa Symbion mabilioni ya shilingi,lakini kwa sababu tatizo lilikuwa ni "Uwaziri mkuu" wa Mh.Lowassa,hakuna hata mmoja anayehoji mabilioni yanayokombwa na Symbion kila siku kupitia mitambo ileile ya Richmond tulioaminishwa kuwa ilikuwa ni mitambo chakavu.
Hivi huwa mnalipwa kiasi gani wa kujitoa AKILI Kiasi hiki ?
 
Baraza gani ambalo waziri wake anamsaliti kwa kufanya mpango ili asiende kwenye mradi wa maji
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom