Rais Magufuli aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri, Ikulu Dar es Salaam

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
1-b.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo tarehe 07 Desemba Ikulu jijini Dar es Salaam. Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. PICHA NA IKULU
 
Mwanzoni walisema Magufuli hawezi sababu tatizo ni mfumo.

Baada ya kuanza kuwatumbua mafisadi wenzao wakasema ni nguvu ya soda.

Baada ya mwaka mzima kuisha huku sindano zikiwaingia kwa kasi ile ile na soda haiishi nguvu, sasa wameanza kupongeza!

Safi sana Yericko, natamani ufipa yote ipokee ubatizo wa moto kama uliopokea wewe na hatimaye kuungana na rais bora kabisa duniani kulijenga upya taifa la Tanzania.
 
View attachment 443605

Tuendelee kuvumilia,kwa kawaida unapokuwa ktk mpito mambo huwa ni magumu,na maendeleo haji kwa kula raha kila kukicha,kufunga mkanda kutatufikisha mbali kimaendeleo,ni swala la muda tu wote tutakuwa tunaongea lugha moja
 
Mwanzoni walisema Magufuli hawezi sababu tatizo ni mfumo.

Baada ya kuanza kuwatumbua mafisadi wenzao wakasema ni nguvu ya soda.

Baada ya mwaka mzima kuisha huku sindano zikiwaingia kwa kasi ile ile na soda haiishi nguvu, sasa wameanza kupongeza!

Safi sana Yericko, natamani ufipa yote ipokee ubatizo wa moto kama uliopokea wewe na hatimaye kuungana na rais bora kabisa duniani kulijenga upya taifa la Tanzania.
Raisi bora kabisa duniani? kuna watu mishipa ya aibu hamna kabisa.
 
Kweli huyu nanihii yumo humu. Nimepiga kelele kuhusu kutokuwepo vikao vya baraza la Mawaziri na haukupita muda mrefu kikao cha baraza la Mawaziri kinafanyika. Natumai vikao hivi vitapunguza sana matamko uchwara na zile kauli za "Nimenukuliwa vibaya"

View attachment 443605
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo tarehe 07 Desemba Ikulu jijini Dar es Salaam. Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. PICHA NA IKULU
 
MBNA namuona masauni naibu WAZIRI, mwigulu hakuwepo?? je naibu waziri anawrza ingia kma wazir wake hayupo??? .
 
Mbona ghafla ghafla hivi au ndo mwendelezo wa mpera mpera wa kushushuana!!?
 
Kweli huyu nanihii yumo humu. Nimepiga kelele kuhusu kutokuwepo vikao vya baraza la Mawaziri na haukupita muda mrefu kikao cha baraza la Mawaziri kinafanyika. Natumai vikao hivi vitapunguza sana matamko uchwara na zile kauli za "Nimenukuliwa vibaya"
Hahahaha.... Kwahiyo kafanya kikao kwa sababu yako? Nyumbu!
 
Back
Top Bottom