Rais Magufuli aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri, Ikulu Dar es Salaam

mwambie aende pale kwa makapuku wenzake wanaoshangilia ndege na ili khali hospital hakuna Dawa.

Ndege ndio zitaleta dawa kwa wingi bila ukomo ingawaje return hiyo inachukua ka muda kidogo badala ya utafutaji dawa wenye ukomo.
 
Mwanzoni walisema Magufuli hawezi sababu tatizo ni mfumo.

Baada ya kuanza kuwatumbua mafisadi wenzao wakasema ni nguvu ya soda.

Baada ya mwaka mzima kuisha huku sindano zikiwaingia kwa kasi ile ile na soda haiishi nguvu, sasa wameanza kupongeza!

Safi sana Yericko, natamani ufipa yote ipokee ubatizo wa moto kama uliopokea wewe na hatimaye kuungana na rais bora kabisa duniani kulijenga upya taifa la Tanzania.
hoviyoooo
 
Kama Magufuli ni raisi bora duniani basi sayari ya dunia imeangamia halinganishwi na raisi yeyote mahali popote kwa jinsi alivyo na uongozi wa hovyo kuvunja sheria kufuja mali za nchi chuki uzanfiki uonevu na uroho wa madaraka
 
Mwanzoni walisema Magufuli hawezi sababu tatizo ni mfumo.

Baada ya kuanza kuwatumbua mafisadi wenzao wakasema ni nguvu ya soda.

Baada ya mwaka mzima kuisha huku sindano zikiwaingia kwa kasi ile ile na soda haiishi nguvu, sasa wameanza kupongeza!

Safi sana Yericko, natamani ufipa yote ipokee ubatizo wa moto kama uliopokea wewe na hatimaye kuungana na rais bora kabisa duniani kulijenga upya taifa la Tanzania.
Mwasita upo mbali na mimi leo ungekunywa pepsi chupa ya zamani, kama sukari hupendi basi ungekunywa maji ya Kilimanjaro au UHAI.
 
Kweli huyu nanihii yumo humu. Nimepiga kelele kuhusu kutokuwepo vikao vya baraza la Mawaziri na haukupita muda mrefu kikao cha baraza la Mawaziri kinafanyika. Natumai vikao hivi vitapunguza sana matamko uchwara na zile kauli za "Nimenukuliwa vibaya"

Mkuu basi tuulizie mbona yule mjumbe wa BLM aliyesaidiwa na Jecha huwa hahudhurii vikao?
 
View attachment 443605
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo tarehe 07 Desemba Ikulu jijini Dar es Salaam. Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. PICHA NA IKULU
Hakuna mwenye amani rohoni. Sisi wa enzi za Idd Amin, the sitting was tense as is reflected here
 
Mbona ghafla ghafla hivi au ndo mwendelezo wa mpera mpera wa kushushuana!!?
kila mwezi kinafanyika kikao cha baraza la mawaziri, na rais ni mwenyekiti wa Baraza hilo la mawazir na CS anakuwa ni katibu
 
Mkuu si unajua katiba ya nchi ilipigwa chini tangu tarehe 05.11.2015 siku tuliyotamkiwa hadharani, "Mimi Kocha Sizonje nitailinda na kuiheshimu katiba ya timu eh! Mungu nisaidie" kumbe yalikuwa maigizo tu.

Mkuu basi tuulizie mbona yule mjumbe wa BLM aliyesaidiwa na Jecha huwa hahudhurii vikao?
 
Hebu tuwekee ushahidi wa picha au link ya habari kuhusu vikao vya baraza la Mawaziri tangu awamu hii iingie madarakani.

kila mwezi kinafanyika kikao cha baraza la mawaziri, na rais ni mwenyekiti wa Baraza hilo la mawazir
 
Mkuu si unajua katiba ya nchi ilipigwa chini tangu tarehe 05.11.2015 siku tuliyotamkiwa hadharani, "Mimi Kocha Sizonje nitailinda na kuiheshimu katiba ya timu eh! Mungu nisaidie" kumbe yalikuwa maigizo tu.
 
Hebu tuwekee ushahidi wa picha au link ya habari kuhusu vikao vya baraza la Mawaziri tangu awamu hii iingie madarakani.
Tangu serikali hii iingie madarakani kumekuwa na vikao kadhaa vya BLM. Hiki sio kikao cha kwanza. Nimeona post yako ukisema jamaa kaona ulichoandika jf ndio maana kaitisha BLM, so funny!!
 
Back
Top Bottom