Rais Magufuli aongeza muda kwa usajili wa laini kwa alama za vidole

Acha ushamba haya mambo siyo mageni, labda kwako! Mhalifu atavaa gloves kama kushika kitasa etc! Ni sawa na kuweka vipande vya chupa kwenye top ya ukuta, mwizi anaweka gunia anapanda!
Wewe vipi? Line iliyosajiliwa kwa Alama za vidole inahusianaje na ulichokiandika? Wee utakuwa mbugia ugoro!
 
Wanaoshupalia usajili huu ni maboya tu kama wengine. Binadamu hazuiliwi kwa vizingiti vya aina hii.
 
Watalii, waajiriwa wa nchi za kigeni, wakimbizi, wageni wanaotembelea marafiki wanapata wapi vitambulisho vya NIDA nao wakasajili line zao?
 
Back
Top Bottom