Rais Magufuli anzisha mchakato wa katiba mpya

Utafanyeje kazi bila ya kuwa na uongozi mzuri wenye demokrasia kila siku polepole anafanya mikutano ya siasa ya nje na ya ndani lkn watu wavyama vingine wakitaka kufanya hiyo mikutano pilisi wanaiingilia na kuuwa watu
Hiyo sio haki. Lkn hata wakipewa haiwezi kuleta maendeleo ya taifa. Na hata hiyo mikutano ya pole pole ambayo anafanya haina tija kwa taifa. Nchi zinazohubr demokrasia maendeleo yao hayakuletwa na demokrasia. Walifanya au kufanyishwa kazi kwa bidii. Then maendeleo na demokrasia vikafuata
 
Katiba mpya ni ufujaji wa pesa za walipa kodi watanzania tunataka maendeleo sio katiba hiyo pesa si bora iingie kwenye standard gauge sio kunufaisha wanasiasa kwenda kula pesa dodoma
Kwahiyo bora hizo hela ziongeze bajeti ya Polepole ya kununua madiwani na wabunge.
 
katiba mpya itamke rais asiwe anaenda kuzindua hafla ya kukabidhi gari za kusambazia dawa maana kuna siku atazindua kukabidhiwa kwa baskeli.
 
Waweke kipengele cha kushitaki marais na kuwanyonga endapo watabainika kuwa waliiba mali za umma. Tunataka marais wetu wanyongwe pamoja na viongozi wezi.
 
Bora katiba kuliko kununua wapinzani.zaid ya bil 18 zimeishatuka kununua watu na kurudia uchaguzi.zingeweza kusaidia katiba mpya. Ziro brain
 
Tumpe rais wetu ushairi ambao hapewi na inner cycle yake.

umuhimu wa katiba mpya

1. taasisi kuwa huru na kutoingiliwa kwa kupewa mamlaka kikatiba mfano, polisi,jeshi,takukuru,bunge, mahakama, tume ya uchaguzi nk

2. Kupunguza nguvu za rais hasa katika teuzi. Rais kapewa kazi nyingi sana hivo katiba itoe mamlaka viongozi wa taasis na mashirika pamoja na mawaziri wawe endorsed na bunge.

3. kuweka uwezo wa kumshtaki raisi akiwa katika madaraka au akistaafu kwa vitendo vyake mfano km raisi atavunja katiba kuwe na kipengele cha kufikishwa mahakamani

4. kuwe na freedom of speech yani kwa MTU binafsi,magazeti,mitandao,TV, nk

5. sheria ya vyama vya siasa kurekebishwa ili iendane na vyama vingi.

vipo vingi sana.

Tuñamuomba rais wetu mpendwa aipe mchakato wa katiba uanze kwani ni hitajio LA wananchi.
Acha Chokochoko mwache JPM atekeleze ahadi zake. Katiba hajawahi Kuahidi hata siku moja. Katiba iliyopo inatutosha. Kama unaona Katiba siyo nzuri nakushauri hamia Sudani ya Kunisi.
 
Katiba mpya ni ufujaji wa pesa za walipa kodi watanzania tunataka maendeleo sio katiba hiyo pesa si bora iingie kwenye standard gauge sio kunufaisha wanasiasa kwenda kula pesa dodoma
Na ile inayotumika kununua wapinzani uchwara na kurudia chaguzi siyo ubadhirifu?
 
Tumpe rais wetu ushairi ambao hapewi na inner cycle yake.

umuhimu wa katiba mpya

1. taasisi kuwa huru na kutoingiliwa kwa kupewa mamlaka kikatiba mfano, polisi,jeshi,takukuru,bunge, mahakama, tume ya uchaguzi nk

2. Kupunguza nguvu za rais hasa katika teuzi. Rais kapewa kazi nyingi sana hivo katiba itoe mamlaka viongozi wa taasis na mashirika pamoja na mawaziri wawe endorsed na bunge.

3. kuweka uwezo wa kumshtaki raisi akiwa katika madaraka au akistaafu kwa vitendo vyake mfano km raisi atavunja katiba kuwe na kipengele cha kufikishwa mahakamani

4. kuwe na freedom of speech yani kwa MTU binafsi,magazeti,mitandao,TV, nk

5. sheria ya vyama vya siasa kurekebishwa ili iendane na vyama vingi.

vipo vingi sana.

Tuñamuomba rais wetu mpendwa aipe mchakato wa katiba uanze kwani ni hitajio LA wananchi.
Unampangia? Wewe nani?
 
hii iliokuwepo haifuatwi, aanzishe mchakato wa katiba mpya? au aanzishe mchakato wa kutokua na katiba?
 
Tumpe rais wetu ushairi ambao hapewi na inner cycle yake.

umuhimu wa katiba mpya

1. taasisi kuwa huru na kutoingiliwa kwa kupewa mamlaka kikatiba mfano, polisi,jeshi,takukuru,bunge, mahakama, tume ya uchaguzi nk

2. Kupunguza nguvu za rais hasa katika teuzi. Rais kapewa kazi nyingi sana hivo katiba itoe mamlaka viongozi wa taasis na mashirika pamoja na mawaziri wawe endorsed na bunge.

3. kuweka uwezo wa kumshtaki raisi akiwa katika madaraka au akistaafu kwa vitendo vyake mfano km raisi atavunja katiba kuwe na kipengele cha kufikishwa mahakamani

4. kuwe na freedom of speech yani kwa MTU binafsi,magazeti,mitandao,TV, nk

5. sheria ya vyama vya siasa kurekebishwa ili iendane na vyama vingi.

vipo vingi sana.

Tuñamuomba rais wetu mpendwa aipe mchakato wa katiba uanze kwani ni hitajio LA wananchi.
Namba 3 chungu ndio maana danadana nyingi
 
Back
Top Bottom