GONZZ EPACLEM
JF-Expert Member
- Dec 3, 2016
- 312
- 240
Mimi ni mtanzania ninayetoka familia duni ambaye nimesoma kwa uchungu sana niwe msaada mkubwa kwa familia yangu hapo baadae. Nasoma masomo ya sayansi ambayo imekuwa ni kipao mbele sana kwa awamu zote za serikali ya CCM tangu utawala wao uanze, nikuwa nikiwa na matumaini makubwa sana hasa kwa utawala huu chini ya Pro. Ndalichako na idara yake yote kuhusu elimu, sina amani tena ndani ya nchi yangu kuhusu huu ubaguzi wa uhai na vifo kwa wazazi wetu pia ukamilifu na uzima wa viungo vyetu vya mwili hasa tunapofika wakati wa uwezeshwaji kielimu kati ya wenye uwezo na wasiokuwa na uwezo kiuchumi.
Ndg wanaJF, nmeshindwa kujizuia kusema ya moyoni niliyojibiwa jana na moja ya watumishi wa BODI YA MIKOPO, nikiulizwa swali kuhusu wazazi wangu kama wapo hai au la au ulemavu wao, bila kuwa yatima au mlemavu hakuna mkopo, je nini maana ya mkopo?.. Je, mkopo wa sasa ni yatima na walemavu tu?
Tafadhali Rais wetu tunaomba msaada ili kutimiza ndoto zetu elimu ya juu, pia wanaJF tafadhali naombeni kwa mwenye uwezo wa kunisponsor angalau ada tu anisaidie kwa hii semister inayofuata hivi karibuni.
Ni kiasi cha tsh 650000/= tu. asanteni sana. telephone 0654459979