DAR si LAMU
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 2,928
- 544
... Saudia wana kampuni yao ya madini -mwanzoni ikijishughulisha zaidi na dhahabu- ambayo ilianzishwa mwaka 1997, inaitwa Ma'aden. Mwaka 2008 imeandikisha 50% ya hisa zake kwenye soko lao la hisa...kama una info zaidi tuwekee hapa ili tuweze kuona mafundisho yoyote tunaweza kuyapata toka huko.
..kununua shares za barrick is one of the options. Sasa wakati mwingine ni vigumu serikali hii kuwekeza kibiashara kwasababu matatizo nchi hii yako mengi mno na yote ni ya dharura.
... Mineral Investment Law yao imetilia maanani uendelezaji wa miundombinu ya usafirishaji, kama reli, barabara, bandari, n.k., ili kuwezesha uvunaji na uuzaji wa madini.
... Ni kweli yako mengi, lakini lazima tuchague machache ya kuanza nayo, mengine yatafuata.