Rais Magufuli anawekeza in wrong business people!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,658
15,784
Kwanza kabisa nazipongeza jitiahadi za mheshimiwa katika kuwasaidia wafanya biashara wa Tanzania kupata connection na wafanya biashara wakubwa wa nje ya nchi... Hata hotuba yake aliyoitoa Ikulu ilikuwa ni ya kibiashara na yanye malengo mema.
Tatizo linakuja kuwa he is investing in wrong people.
Watu kama kina Mengi, Bhakresa, Rostam, Mo, Manji, Mafuruki et al, ni watu ambao 'wameridhika na biashar zao'.
Ukifuatailia takwimu zinazotolewa na Forbes, zinaonesha kuwa matajiri haw hawajapanda sana wala hawajashuka katika viwango vyao vya utajiri... Hii ina maana kuwa wamementain investment zao katika level zilizofikia.
Unajua mtu unapokuwa na umri mkubwa, pilika pilika za kutafuta mali zinapungua. Hata pale unapoitiwa opportunity mpya unakuwa huna mzuka nazo..
Napenda kumshauri mheshimiwa sasa a base kwenye matajiri wa nchi hii wenye utajiri kati ya bilioni kumi hadi mia... Hapa ndipo kundi kubwa la matajiri wachangamkia fursa lilipo lala... Hawa ndio watakao zitumia fursa, zinazotokana na jitihadi za serikali katika kuwashirikisha wafanyabiashara wa ndani na nje ya nchi...
 
Back
Top Bottom