Rais Magufuli anatekeleza ilani ya CCM kweli?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,784
20,155
Najiuliza maswali mengi tu kwamba jee mheshimiwa magufuli anafuata ilani ya ccm?
Maana mambo mengi anafanya kwa kushtukiza
Mawaziri nao wanakurupuka sasa sijui tunaelekea wapi yaani sijui kabisa labda mwajua wenzangu ila mimi sijui kwa kweli
Ni aibu sana hii
Ndege zimetufanya maskini yaani
 
downloadfile-4.jpeg



swissme
 
Back
Top Bottom