Tunkamanin
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 951
- 865
Amesikaka mara kadhaa raisi wetu katika baadhi ya Hotuba zake, akielezea neema walizowahi kuonja raia wa Libya kabla ya muamar Gadafi kuuwawa, kwa ile ongea yake ni dhahir kabisa anatamani. Matibabu bure, Umeme bure, matibabu bure, mishahara kwa wazee, ruzuku kwa anaeoa na mengineyo mengi.... Shida iko sehemu moja tu.. ALIFIKAJE ? na sisi je TUNAFIKAJE,? JPM nchi tumekukabidhi, tunaishi kwa matumaini......4yrs to go, .....Still counting
JK na Gadafi, tutawakumbuka sana.....mmethubutu.
JK na Gadafi, tutawakumbuka sana.....mmethubutu.