Rais Magufuli anatamani Tanzania ya neema kama libya ya hayati Gadafi

T

Tunkamanin

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Messages
655
Likes
621
Points
180
T

Tunkamanin

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2015
655 621 180
Amesikaka mara kadhaa raisi wetu katika baadhi ya Hotuba zake, akielezea neema walizowahi kuonja raia wa Libya kabla ya muamar Gadafi kuuwawa, kwa ile ongea yake ni dhahir kabisa anatamani. Matibabu bure, Umeme bure, matibabu bure, mishahara kwa wazee, ruzuku kwa anaeoa na mengineyo mengi.... Shida iko sehemu moja tu.. ALIFIKAJE ? na sisi je TUNAFIKAJE,? JPM nchi tumekukabidhi, tunaishi kwa matumaini......4yrs to go, .....Still counting

JK na Gadafi, tutawakumbuka sana.....mmethubutu.
 
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Messages
15,689
Likes
13,731
Points
280
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2015
15,689 13,731 280
Gaddafi kichwa kingine,itamgharimu miaka yake yote kuwa kama gaddafi
 
ENANTIOMER

ENANTIOMER

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2014
Messages
1,401
Likes
700
Points
280
ENANTIOMER

ENANTIOMER

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2014
1,401 700 280
Amesikaka mara kadhaa raisi wetu katika baadhi ya Hotuba zake, akielezea neema walizowahi kuonja raia wa Libya kabla ya muamar Gadafi kuuwawa, kwa ile ongea yake ni dhahir kabisa anatamani. Matibabu bure, Umeme bure, matibabu bure, mishahara kwa wazee, ruzuku kwa anaeoa na mengineyo mengi.... Shida iko sehemu moja tu.. ALIFIKAJE ? na sisi je TUNAFIKAJE,? JPM nchi tumekukabidhi, tunaishi kwa matumaini......4yrs to go, .....Still counting

JK na Gadafi, tutawakumbuka sana.....mmethubutu.
Hivi ni watanzania ndio tunaotamani kuishi maisha kama walioishi raia wa Libya chini ya uongozi Gadafi, au Magufuli ndiye anatamani tuishi kama raia wa Libya walioishi chini ya uongozi wa Gadafi? Mimi naona magufuli anatamani kinyume na ulivyoandika! kila kukicha anawaza kuongeza kodi kwa watu wake, anatamani hata kuwanyanganya mishshara watumishi wa umma, kuwanyima mikopo wanafunzi wa elimu wa juu, n.k; au hivyo ndivyo Gadafi ailivyoanza ktk utawala wake?
 
T

Tyupa

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Messages
767
Likes
528
Points
180
Age
63
T

Tyupa

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2013
767 528 180
Wananchi wake hawakumtetea sisi tungewezaje?
Walibya hawakumtetea Gaddaf kwa sababu pamoja na uzuri wake alivunja katiba ya nchi na kutaka kutawala yeye peke yake.Wapinzani wakihoji waliishia kuuawa,kuna wakati makaburi ya h alaiki yaligundulika ambayo wapinzani waliuawa na kuzikwa kaburi moja.Saddam Hussein pia alifanya mauaji mengi dhidi ya wapinzani na kuwazika kwenye makaburi ya h alaiki.Nkurunziza wa Burundi nae baada ya kubadili katiba ya nchi yake tayari ameshazalisha mzozo mkubwa na wapinzani.Na tayari kuna taarifa zimefichua makaburi ya h alaiki dhidi ya wapinzani.Kwa ujumla maraisi wanaong'ang'ania madaraka ndio wanaosababisha vurugu kwenye nchi zao.Libya sasa hivi haitawaliki,haitawaliki kwa sababu ya uroho wa madaraka aliokuwa nayo Gaddafi.Alikuwa na uwezo mzuri wa kutawala lakini pia wapo Walibya wengine ambao wana uwezo kama yeye au pengine na kuzidi lakini hawakupewa fursa hiyo. Kwa hiyo kifo cha Gaddaf alijitakia mwenyewe,aliua wapinzani na kuwazika kaburi moja na hao ndio waliommaliza kwa kusaidiwa na nguvu za nje.
 
Ulukolokwitanga

Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2010
Messages
8,416
Likes
3,937
Points
280
Ulukolokwitanga

Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2010
8,416 3,937 280
Tusubiri Push up zingine 2020.
Kama madai ya wafanyakazi na kupandishwa vyeo imeshindikana na vitu hivyo ni haki yao na hakuna nyongeza ya mshahara ndio unawazia maisha bora namna hiyo? After all shetani haishi hivyo, hayo ni maisha ya malaika
 
Y

ydn

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2015
Messages
2,108
Likes
1,399
Points
280
Y

ydn

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2015
2,108 1,399 280
Walibya hawakumtetea Gaddaf kwa sababu pamoja na uzuri wake alivunja katiba ya nchi na kutaka kutawala yeye peke yake.Wapinzani wakihoji waliishia kuuawa,kuna wakati makaburi ya h alaiki yaligundulika ambayo wapinzani waliuawa na kuzikwa kaburi moja.Saddam Hussein pia alifanya mauaji mengi dhidi ya wapinzani na kuwazika kwenye makaburi ya h alaiki.Nkurunziza wa Burundi nae baada ya kubadili katiba ya nchi yake tayari ameshazalisha mzozo mkubwa na wapinzani.Na tayari kuna taarifa zimefichua makaburi ya h alaiki dhidi ya wapinzani.Kwa ujumla maraisi wanaong'ang'ania madaraka ndio wanaosababisha vurugu kwenye nchi zao.Libya sasa hivi haitawaliki,haitawaliki kwa sababu ya uroho wa madaraka aliokuwa nayo Gaddafi.Alikuwa na uwezo mzuri wa kutawala lakini pia wapo Walibya wengine ambao wana uwezo kama yeye au pengine na kuzidi lakini hawakupewa fursa hiyo. Kwa hiyo kifo cha Gaddaf alijitakia mwenyewe,aliua wapinzani na kuwazika kaburi moja na hao ndio waliommaliza kwa kusaidiwa na nguvu za nje.
Mbona wanashindwa kujitawala Mkuu wakati Gadafi keshakufa? Au alikufa na wenye uwezo kuzidi yeye?
 
T

Tyupa

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Messages
767
Likes
528
Points
180
Age
63
T

Tyupa

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2013
767 528 180
Mbona wanashindwa kujitawala Mkuu wakati Gadafi keshakufa? Au alikufa na wenye uwezo kuzidi yeye?
Hawawezi kujitawala kwa sababu wafuasi wa Gaddaf wapo na wapinzani wapo.Wapinzani wanataka kutawala na kulipiza kisasi na wafuasi wa Gaddaf nao wanataka kuendelea kushika dola.Hapo sasa ndio chimbuko la mgororo,inakuwa kazi ngumu hakuna wa kukubali.
 
S.Liondo

S.Liondo

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Messages
3,117
Likes
1,340
Points
280
S.Liondo

S.Liondo

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2011
3,117 1,340 280
Gesi ya Mtwara ikitumika kwa maslahi ya taifa itawezekana, lakini kama ni hii ya kuuwapa wawekezaji kwa taifa kupata asilimia sabini, basi tusahau.
 
N

Ngoso

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2012
Messages
527
Likes
52
Points
45
N

Ngoso

JF-Expert Member
Joined May 26, 2012
527 52 45
ILI ATUFIKISHE HAPO INABIDI AFANYE YAFUATAYO:-
1.AFUTE VYAMA VYOTE VYA SIASA NA MALI ZA VYAMA KURUDISHWA SERIKALINI .
2.AVUNJE BUNGE
3.MIKATABA YA MADINI IPITIWE UPYA.
4.PESA ZILIZO LIMBIKIZWA A/C ZA NJE ZIRUDISHWE NCHINI.
5.LAZIMA AFUKUE MAKABURI.RICHMOND.EPA.ESCROW.NBC NA MENGINE MAAMA HUMO NDIMO KULIMO NA MAFISADI PAPA
N.B KWA KUTEKELEZA 1,2, ATAIJENGA NA KUNYOOSHA NCHI BILA KELELE ZA WANASIASA
Amesikaka mara kadhaa raisi wetu katika baadhi ya Hotuba zake, akielezea neema walizowahi kuonja raia wa Libya kabla ya muamar Gadafi kuuwawa, kwa ile ongea yake ni dhahir kabisa anatamani. Matibabu bure, Umeme bure, matibabu bure, mishahara kwa wazee, ruzuku kwa anaeoa na mengineyo mengi.... Shida iko sehemu moja tu.. ALIFIKAJE ? na sisi je TUNAFIKAJE,? JPM nchi tumekukabidhi, tunaishi kwa matumaini......4yrs to go, .....Still counting

JK na Gadafi, tutawakumbuka sana.....mmethubutu.
K
 
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Messages
15,689
Likes
13,731
Points
280
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2015
15,689 13,731 280
Walibya hawakumtetea Gaddaf kwa sababu pamoja na uzuri wake alivunja katiba ya nchi na kutaka kutawala yeye peke yake.Wapinzani wakihoji waliishia kuuawa,kuna wakati makaburi ya h alaiki yaligundulika ambayo wapinzani waliuawa na kuzikwa kaburi moja.Saddam Hussein pia alifanya mauaji mengi dhidi ya wapinzani na kuwazika kwenye makaburi ya h alaiki.Nkurunziza wa Burundi nae baada ya kubadili katiba ya nchi yake tayari ameshazalisha mzozo mkubwa na wapinzani.Na tayari kuna taarifa zimefichua makaburi ya h alaiki dhidi ya wapinzani.Kwa ujumla maraisi wanaong'ang'ania madaraka ndio wanaosababisha vurugu kwenye nchi zao.Libya sasa hivi haitawaliki,haitawaliki kwa sababu ya uroho wa madaraka aliokuwa nayo Gaddafi.Alikuwa na uwezo mzuri wa kutawala lakini pia wapo Walibya wengine ambao wana uwezo kama yeye au pengine na kuzidi lakini hawakupewa fursa hiyo. Kwa hiyo kifo cha Gaddaf alijitakia mwenyewe,aliua wapinzani na kuwazika kaburi moja na hao ndio waliommaliza kwa kusaidiwa na nguvu za nje.
Ukumbuke na mema yake.
 
ArD67

ArD67

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2016
Messages
2,799
Likes
1,950
Points
280
Age
36
ArD67

ArD67

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2016
2,799 1,950 280
ILI ATUFIKISHE HAPO INABIDI AFANYE YAFUATAYO:-
1.AFUTE VYAMA VYOTE VYA SIASA NA MALI ZA VYAMA KURUDISHWA SERIKALINI .
2.AVUNJE BUNGE
3.MIKATABA YA MADINI IPITIWE UPYA.
4.PESA ZILIZO LIMBIKIZWA A/C ZA NJE ZIRUDISHWE NCHINI.
5.LAZIMA AFUKUE MAKABURI.RICHMOND.EPA.ESCROW.NBC NA MENGINE MAAMA HUMO NDIMO KULIMO NA MAFISADI PAPA
N.B KWA KUTEKELEZA 1,2, ATAIJENGA NA KUNYOOSHA NCHI BILA KELELE ZA WANASIASA

K
Na demokrasia yao ya kizushi zote ziondoke. Ktk katiba Bill of rights iondolewe, kifupi Azimio la Arusha lirudi kama vilevile lilivyokuwa pasi na badiliko lolote. Na haya ktk ukweli wa ndani kabisa ndicho wanachokita Watanzania. Wtz wanataka uchumi ambao wote wataguswa nao ktk usawa. Huduma bora bure, maisha sawa bila matabaka makubwa sana, haya yote ni ndoto ktk mfumo wa kibepari... Kamwe haiwezekani, ktk mfumo huu ni lazima matabaka yawepo ndo uchumi huu uende,wafanyakazi wa chini viwandani lazma wawepo na wawe maintained ktk daraja hilohilo daima. Tunautamani kweli uchumi wa Libya ? Uchumi, siasa na mambo ya kijamii lazima yajengwe ktk kubebana ili kila kitu kiende sawa. Gadaff asingefanya alichowafanyia walibya kama angeruhusu vyama vingi.
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,531
Likes
10,536
Points
280
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,531 10,536 280
Mbona wanashindwa kujitawala Mkuu wakati Gadafi keshakufa? Au alikufa na wenye uwezo kuzidi yeye?
Shida yako ni uwezo mdogo wa kufikiri.

Libya leo inashindwa kujitawala sababu ya matabaka yaliyoachwa na Gaddafi. Kiongozi, hata atoke mbinguni, maadam ni mwanadamu basi ipo siku atafikia ukomo wake. Libya haikuwa na mfumo wa kiutawala wenye kutoa mwanya kwa wengine kuushiriki. One man show huishia pale dereva anapoishia.

Vita unayoiona Libya leo ni matokeo ya makundi yaliyosahaulika ambayo nayo sasa yanaamini ndio wakati wao. Hayakutaraji kupata fursa ya kuwa huru, na ss yako huru bila mipango wala mikakati...vurugu mechi.

Hata hivyo, ipo siku Libya itatulia.
 
K

kulwa MG

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2016
Messages
1,293
Likes
760
Points
280
K

kulwa MG

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2016
1,293 760 280
hizo ni ndoto za mchana akiwa amelewa POMBE..
 
mwihomeke 1

mwihomeke 1

Member
Joined
Dec 3, 2016
Messages
45
Likes
17
Points
15
Age
48
mwihomeke 1

mwihomeke 1

Member
Joined Dec 3, 2016
45 17 15
Duuuuuu acha tuisome namba tuuuuuu,ccm ci walisema mbele kwa mbele
 
T

Tunkamanin

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Messages
655
Likes
621
Points
180
T

Tunkamanin

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2015
655 621 180
Shida yako ni uwezo mdogo wa kufikiri.

Libya leo inashindwa kujitawala sababu ya matabaka yaliyoachwa na Gaddafi. Kiongozi, hata atoke mbinguni, maadam ni mwanadamu basi ipo siku atafikia ukomo wake. Libya haikuwa na mfumo wa kiutawala wenye kutoa mwanya kwa wengine kuushiriki. One man show huishia pale dereva anapoishia.

Vita unayoiona Libya leo ni matokeo ya makundi yaliyosahaulika ambayo nayo sasa yanaamini ndio wakati wao. Hayakutaraji kupata fursa ya kuwa huru, na ss yako huru bila mipango wala mikakati...vurugu mechi.

Hata hivyo, ipo siku Libya itatulia.
Dua ya leo inaendelea kuwa mahala pabaya pa kuishi mwanaadamu kutokana na wingi wa watu wenye mawazo kama yako, mawazo ambayo ni static, yanaangalia upande mmoja, yeyote anaewaza kinyume nawe ana uwezo mdogo wa kufikiri. One man leadership with full of free social services and well advanced living standards ni sawa na utawala wa kubadilishana kila kukicha huku raia wakifa kwa njaa, kodi za ajabu ajabu.......think twice, acha chuki binafsi.
 
T

Tyupa

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Messages
767
Likes
528
Points
180
Age
63
T

Tyupa

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2013
767 528 180
Ukumbuke na mema yake.
Nimeshasema tayari kuwa Gaddaf alikuwa kiongozi mzuri kosa lake ni kung'ang'ania madaraka na kuua wapinzani ambao wengine walifukiwa kaburi moja.Hata Nkurunziza alikuwa kiongozi mzuri sana kosa lake ni lile lile la kung'ang'ania madaraka na kuwashikisha adabu wapinzani ambao nao ni haki yao kikatiba kushiriki uchaguzi na kushika dola.
 
Forum statistics

Threads 1,273,542
Members 490,428
Posts 30,484,610