Tetesi: Rais Magufuli anatamani nchi yetu iwe na Katiba ya nchi mbovu zaidi ya hii tuliyo nayo sasa!

Nakuapia mbele ya Mungu na wote watakaosoma post hizi kelele za wanasiasa hazitazidi veto ya majenerali wa jwtz ndio maana huwezi kusikia jwtz wameongea chochote ila ukitaka kuthibitisha ninachosema hebu rais yoyote wa jmt aliechaguliwa kwa kura za wanachi hata za wizi Kama walivyofanya 2015 ajiongezee hata mwezi mmoja kinyume na katiba uone itakavyokuwa kila siku makanali hawatatulia vikosini maana vifaru na mizinga vitakuwa vinapashwa joto wanaume watakuwa wanaomba bili kubwa za mafuta ya dizeli na petroli mamaeee bandarini kila siku ving'ora vya Navy vitalia kuuliza oyaaa infatriii tuliamshe dudeeeee ha ha ha ha msiombee mwendawazimu yoyote aongeze muda wa utawala wa kiraia mtalikaribisha jeshi mitaani bila sababu !!! Mungu ibariki Africa /// uzuri wanasiasa wanajua kwamba mipaka ya ujinga wao kulishika jeshi sharubu unaishi wapi!!!!
Boss, hauna habari hata na vituo hata koma ..!!!
 
Naomba Mungu akupe uhai. Magufuli atafanya chochote kile mradi abakie madarakani. Kwa unyama na ufisadi alioufanya hatokaa atoke ikulu. Msijidanganye.

Tutakumbushana tu.
 
Katika Mambo ambayo namtetea hawezi ku mess up nayo ni pamoja na hili mkuu.
 
Naomba Mungu akupe uhai. Magufuli atafanya chochote kile mradi abakie madarakani. Kwa unyama na ufisadi alioufanya hatokaa atoke ikulu. Msijidanganye.

Tutakumbushana tu.
Lakini usisahau kuwa yeye pia ameumbwa na Mungu huyu huyu tunayemwamini na Mungu anahubirii "mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe"

Hivi kwa chuki na visasi vya hali ya juu anavyovifanya huyu Jiwe kwa wapinzani wake, akilihusisha Jeshi "lake" la Polisi kuwabambikia kesi wahusika, unadhani huyu Mungu tunayemuamini atakaa kimya kweli??

Amini nakuambia hakuna chenye mwanzo kikakosa kuwa na mwisho
 
Usidanganywe ndugu jwtz halina urafiki na wanasiasa unachokiona machoni sio kilichomo ndani
Njaa haina Baunsa.
Kuna wanaokula bata kuliko mtu yeyote au beberu yeyote.
CCM kwa muda mrefu ilijiandaa kutawala na kuila hii nchi itakavyo na kushurikiana na binadamu yeyote mwenye tamaa mbaya iwe ni kimungu au kishetani.

Kuna matendo machafu sana yanayotendwa na wanaosaka madaraka Lakini hawajali zaidi ya kufikia malengo yao ya kutawala na kuwala watanzania.

Wanajeshi hawawezi kujiharibia endapo wananchi wataamua kuufyaata mkia.
Ni lazima waone kuna hali ya taharuki inayotaka kutokea kwa sababu ya uchu wa madaraka wa watu wachache sana ambao wameshakaa madarakani kwa muda mrefu.
Nchi za Afrika zinatawaliwa kirahisi sana kutokana na njaa,au umaskini na ujinga. Ndio maana wazungu walikuja wakawa wanagawa nguo na shanga huku wakiwa wanavushwa mtoni kwa kubebwa na vijana wanane wenye nguvu ya kutosha kumshika mzungu na kumtupa kwenye MTO wenye mamba wa Kali na kuondosha ujinga wa mkoloni. Taratibu kuwapigia magoti wakoloni wachache mpaka Afrika ikatawaliwa kwa viboko na risasi.

Tumuunge mkono Mh. Rais ili akamilishe ndoto zale kwa miaka 10 . Hawezi kuongeza miaka kwenye Katiba aliyoapa kuilinda.
Japo hatuoni wa kumrithi nje ya CCM. Kuliko aje Rais mwingine kutoka ndani ya CCM ni Bora JPM aendelee daima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini usisahau kuwa yeye pia ameumbwa na Mungu huyu huyu tunayemwamini na Mungu anahubirii "mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe"

Hivi kwa chuki na visasi vya hali ya juu anavyovifanya huyu Jiwe kwa wapinzani wake, akilihusisha Jeshi "lake" la Polisi kuwabambikia kesi wahusika, unadhani huyu Mungu tunayemuamini atakaa kimya kweli??

Amini nakuambia hakuna chenye mwanzo kikakosa kuwa na mwisho
Mungu huwaacha watu wabaya waishi muda mrefu ili watubu.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom