Rais Magufuli anaposema Wanyonge ni watu gani?

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,697
9,048
"Tumenyonywa kiasi cha kutosha, tumenyanyaswa kiasi cha kutosha na tumepuuzwa kiasi cha kutosha. Unyonge wetu ndio uliofanya tunyonywe, tuonewe na kupuuzwa"..

Hii ni slogan maarufu alokuwa akiituimiaa Baba wa kumfurusha mkolone.Kwamba UNYONGE wa Watz ndo ulifanya mkolone atunyanyase,atuppuuze na kutunyonyaa vya kutosha.....!!!

Lakinii tangu Magufulii aingie madarakani amejitanabaisha kama Rais anayetetea Mtanzaniia mnyonnge!!Kwa kauli za Magufuli MNYONGE ni yule tu anayetii Utaawala wake pasi na kuhoji au kupinga lolote analolifanya au Serkali yake yya CCM!!!Kwa Rais Magufuli vyama vyote pinzani si wanyonge.......!!!

Tumeshudia Rais akiagiza watu WASIVUNJIWE NYUMBA HUKO MWANZA maana ni WAANYONGE KWA VILE NDIO WALIO MPIGIA KURA ZA URAHISI.....!!!Wakati huohuo ameendelea kuvunja NYUMBA ZA WAKAZI WA DAR kwa vile WALICHAGUA UPINZANI hivo hao si wanyonge.......!!!

Kwa muktadha huu Wanyonge wa Magufuli ni wale wasio taka kuhoji maovu ya Utawala wake kwa namna yoyote ile!

Karibu tujadili....!!
 
Back
Top Bottom