Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,697
- 9,048
Nimekaa nimefikiri, nimewaza na kutafakari sana...!!!
Kwamba Rais wetu mpendwa John Joseph Pombe Magufuli huwa anajisikiaje anapoona na kusikia ViongozI na hasa Wabunge wa upinzani wanaoteseka kwenye jela, mahabusu na mahospitalini..!!L
Mpaka sasa kuna Wabunge 2 wako mahabusu, 1 mmoja yuko Hosptali Nairobi akiendelea na matibabu mwezi wa 3 sasa...!!!Mbunge wa A Town Mhe.Lema alisota mahabusu miezi 4 na ushei....Lijualikali akapigwa mvua ya miezi 6..jela. Halima Mdee na Esther Bulaya wamefungiwa kushiriki Bunge mwaka mzima...!!!Lakini Rais mpendwa wa Wanyonge amekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea....!!!
Makamu wake mama Samia Suluhu angalao juzi kaonyesha moyo wa kumtembelea Lissu huko Nairobi na wiki hii tumesikia Rais mstahafu Ali Alhaj Hassani Mwinyi kafika Nairobi kumwona Lissu bila kujali u-CCM wala u-CHADEMA...!!!
Je, Rais mpendwa wa Watanzania, Rais wa Wanyonge yeye anafikiri nini kuhusu mambo haya???Kuna siku mtu aliyemwachia kiti, Mzee wa msoga Jakaya Mrisho wa Kikwete alisema bila kumung'unya maneno kwamba, ''WAPINZANI SIYO MAADUI''.
Je, Rais wetu mpendwa anajisikije wazee waliomtangulia wanapojaribu kumuasa kijana wao waliyemwachia ofisi lakini wala hatikisiki sanasana anawabeza...kwamba WANAWASHWA...!!
Je, tatizo ni nini kwa Rais wetu mpendwa? Yawezekana ni FRUSTRATIONS alizonazo kama alivyotamka mwenyewe hadharani...?
Haya ni maswali yaliyo ndani ya mioyo ya Watanzania wengi bila kujali itikadi za vyama vyao kwa maana ya pande zote 2 za CCM na Upinzani....!!