Rais Magufuli anajaribu kujenga uchumi na umoja katika hali ngumu ya utandawazi. Tutafika tu

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
2,590
4,600
Katika zama hizi za utandawazi, imekuwa ni ngumu sana kwa nchi za kiafrika kuendana na mabadiliko hayo ya utandawazi na hivyo kupelekea kujenga uchumi kuwa ni ngumu. Utandawazi unatumiwa na mabeberu kama njia mojawapo ya kuitawala tena Afrika kupitia teknolojia kutokana na kwamba nchi za Afrika zimekuwa zikishindwa kuendana na mabadiliko. Hali hii ya kushindwa kuendana na mabadiliko ya utandawazi inapelekea changamoto za mabadiliko katika nchi za kiafrika.

Tanzania kama moja ya nchi katika Afrika, kwa namna moja au nyingine tumeathirika sana na utandawazi. Kwa kipindi kirefu nchi za Afrika zimegeuzwa ‘dampo au gulio’ la bidhaa za kigeni kutokana na kukosa teknolojia ya kuzalisha hizo hizo bidhaa sisi wenyewe. Nchi za Afrika zimekuwa ni soko tu la wazalishaji na tumekuwa watumiaji. Utandawazi umeathiri sana uchumi wa Afrika.

Rais Magufuli katika kuhakikisha kuwa Tanzania inakuwa ni sehemu ya wazalishaji na si kubaki kama soko la bidhaa za kigeni, akaja na wazo la TANZANIA YA VIWANDA. Hii ni moja ya silaha muhimu sana katika kuondokana na utandawazi na athari za kiuchumi katika nchi yetu zinzaotokana na utandawazi.

Utandawazi ulikuwa unafanya nchi yetu unakosa mapato makubwa ya madini kwa kuuza kwa bei ndogo madini ambayo hayajachakatwa lakini Rais Magufuli kaweza kukabiliana na hali hii kwa kuyachakata madini hayo hapahapa nchini ili kuyaongezea thamani. Hii ni jambo la kupongeza sana

Pia, utandawazi umetuathiri kiuchumi kwa sababu nchi ina rasilimali nyingi ila ziligeuka ‘ rasilimali bubu’ ila Rais Magufuli ameweza kuzibadili ili ziweze kuchangia maendeleo hii na katika kuondoa umasikini wa watu. Haya yote ni athari ambazo si tu Tanzania bali Afrika kwa ujumla inazipata kutokana na utandawazi.

Utandawazi umefanya uchumi wa nchi za afrika kumilikiwa na wawekezaji wa kigeni wenye viwanda vya kuzalisha bidhaa na watu wengine binafsi na hivyo kufanya uwiano katika ya masikini na matajiri kuwa mdogo na masikini kuongeza sana. Sehemu kubwa ya utajiri wa nchi unamilikiwa na wageni na hii ni mbaya kwa sababu wapo kwa ajili ya pesa tu bila kujali uzalendo kwa nchi.

Afrika imegeuzwa jalala la kila takataka ya kigeni kisa utandawazi. Vijana wanakesha kwenye mitandao ya kijamii wakifuatilia habari zisizowasaidia, tamaduni za ushoga na usagaji zimeingia afrika kisa utandawazi, nidhamu kupungua, uzalendo kushuka na mavazi yasiyofaa kwa watoto wa kike na wa kiume yote yakiwa ni matokeo hasi ya utandawazi. Utandawazi lazima uwe na kikomo ili kulinda utu, uchumi, siasa, mshikamano na Amani.
 
Utakuwa umeingiliwa na Pepo la Nguluwe...
 
Kumbe anajaribu kujenga uchumi, mimi nilidhani amedhamiria kuujenga huo uchumi. Mwenye kujaribu kuna mawili ama kushinda au kushindwa. Yeye naona ameshachagua upande tayari....
 
Utakuwa umeingiliwa na Pepo la Nguluwe...

Mwanzilishi kajenga hoja mbili za msingi:

1. Utandawazi na madhara yake kwa nchi za Afrika na hasa Tanzania; na

2. Hatua zinazochukuliwa na Serikali ya Awamu ya Tano ya JMT chini ya Mh. Rais JPM kukabiliana na utandawazi na au madhara yake.

Unaweza kuwa na hoja au maoni tofauti au mbadala. Hivyo basi, JENGA HOJA acha matusi dhidi ya Mwanzilishi wa uzi.
 
sidhani kama unaelewa vizuri maana ya utandawazi au umoja.
 
Mwanzilishi kajenga hoja mbili za msingi:

1. Utandawazi na madhara yake kwa nchi za Afrika na hasa Tanzania; na

2. Hatua zinazochukuliwa na Serikali ya Awamu ya Tano ya JMT chini ya Mh. Rais JPM kukabiliana na utandawazi na au madhara yake.

Unaweza kuwa na hoja au maoni tofauti au mbadala. Hivyo basi, JENGA HOJA acha matusi dhidi ya Mwanzilishi wa uzi.
Hakuna hoja zaidi ya ubabaishaji...usitetee upuuzi..... MTU aharibu uchumi, biashara ka Korosho, mbaazi na nyinginezo kazivuruga kwa maamuzi yake ama wasaidizi wake mnasingizia Utandawaza na mabeberu!!?

Deni la taifa linapaa kwa kasi ya Piere liquid alafu mnasingizia Utandawazi na mabeberu!

Diplomasia haijui na anaiua...anatengeneza Nchi ya Uchumi wa Viwanda vya Machinga.

ni mpuuzi pekee atakayesingizia madhara ya utandawazi na mabeberu na kuiacha CCM na Kiongozi wake wanaopiga propaganda tu na kupumbana na upinzani badala ya Dengue na ujinga mwingi, pamoja na umasikini.....

"Pasua baadhi ya mayai ili upate Chipsi mayai.." alisikika Mchungaji Miuno.
 
Katika zama hizi za utandawazi, imekuwa ni ngumu sana kwa nchi za kiafrika kuendana na mabadiliko hayo ya utandawazi na hivyo kupelekea kujenga uchumi kuwa ni ngumu. Utandawazi unatumiwa na mabeberu kama njia mojawapo ya kuitawala tena Afrika kupitia teknolojia kutokana na kwamba nchi za Afrika zimekuwa zikishindwa kuendana na mabadiliko. Hali hii ya kushindwa kuendana na mabadiliko ya utandawazi inapelekea changamoto za mabadiliko katika nchi za kiafrika.

Tanzania kama moja ya nchi katika Afrika, kwa namna moja au nyingine tumeathirika sana na utandawazi. Kwa kipindi kirefu nchi za Afrika zimegeuzwa ‘dampo au gulio’ la bidhaa za kigeni kutokana na kukosa teknolojia ya kuzalisha hizo hizo bidhaa sisi wenyewe. Nchi za Afrika zimekuwa ni soko tu la wazalishaji na tumekuwa watumiaji. Utandawazi umeathiri sana uchumi wa Afrika.

Rais Magufuli katika kuhakikisha kuwa Tanzania inakuwa ni sehemu ya wazalishaji na si kubaki kama soko la bidhaa za kigeni, akaja na wazo la TANZANIA YA VIWANDA. Hii ni moja ya silaha muhimu sana katika kuondokana na utandawazi na athari za kiuchumi katika nchi yetu zinzaotokana na utandawazi.

Utandawazi ulikuwa unafanya nchi yetu unakosa mapato makubwa ya madini kwa kuuza kwa bei ndogo madini ambayo hayajachakatwa lakini Rais Magufuli kaweza kukabiliana na hali hii kwa kuyachakata madini hayo hapahapa nchini ili kuyaongezea thamani. Hii ni jambo la kupongeza sana

Pia, utandawazi umetuathiri kiuchumi kwa sababu nchi ina rasilimali nyingi ila ziligeuka ‘ rasilimali bubu’ ila Rais Magufuli ameweza kuzibadili ili ziweze kuchangia maendeleo hii na katika kuondoa umasikini wa watu. Haya yote ni athari ambazo si tu Tanzania bali Afrika kwa ujumla inazipata kutokana na utandawazi.

Utandawazi umefanya uchumi wa nchi za afrika kumilikiwa na wawekezaji wa kigeni wenye viwanda vya kuzalisha bidhaa na watu wengine binafsi na hivyo kufanya uwiano katika ya masikini na matajiri kuwa mdogo na masikini kuongeza sana. Sehemu kubwa ya utajiri wa nchi unamilikiwa na wageni na hii ni mbaya kwa sababu wapo kwa ajili ya pesa tu bila kujali uzalendo kwa nchi.

Afrika imegeuzwa jalala la kila takataka ya kigeni kisa utandawazi. Vijana wanakesha kwenye mitandao ya kijamii wakifuatilia habari zisizowasaidia, tamaduni za ushoga na usagaji zimeingia afrika kisa utandawazi, nidhamu kupungua, uzalendo kushuka na mavazi yasiyofaa kwa watoto wa kike na wa kiume yote yakiwa ni matokeo hasi ya utandawazi. Utandawazi lazima uwe na kikomo ili kulinda utu, uchumi, siasa, mshikamano na Amani.
Wewe naona unaandika ndoto zako.

Hivi ni madini gani ambayo mpaka sasa yanachakatwa nchini? Msipende kuandika uwongo.

Utawezaje kujenga uchumi wa viwanda wakati huo huo ukawachukia wanaoweza kujenga viwanda? China tunayoisifia leo, imeruhusu hao ambao tunawaita sisi mabeberu kuwekeza kwa kiwango kikubwa ndani ya nchi yao. Katika makampuni 10 makubwa kabisa nchini China, ni moja tu ndiyo kampuni ya China. Makampuni mengine yote ni ya wazungu. China mpaka leo wanazunguka Ulaya na America kutafuta wawekezaji, sisi tunawafukuza kwa kuwa nni mabeberu, halafu utegemee kujenga uchumi wa viwanda?

Rais wetu ni sawa na dereva wa gari anayekanyaga accelerator ili gari ikimbie huku amekanyaga brake mpaka mwisho.

Rais ana matamanio mazuri lakini hana mipango wala mbinu sahihi.
 
Hatuna uongozi, period.
 
Mabeberu ni lugha ya kizamani sana. Ilitumika wakati wa vita baridi, Tanzania ikifuta siasa ya kutofungamana na upande wowote. Walau tulikuwa tunajua maana yake. Leo Mabeberu lina maana gani? Mbona viingozi waliopo madarakani Tz pia ni mabeberu? Beberu kama la mbuzi tu, mbona wakuu wa mikoa, wilaya nimabeberu tu?
 
Uchumi wa viwanda Bila vitendo,ni sawa Na slogan kama zingine zipitazo kama uchumi wa gesi,Kilimo kwanza, big result now na blah blah zingine nayo itapita.Ili uendelee ni lzm uliwe,waliowekeza China wengi ni wageni toka nje,waliowekeza USA wengi toka Ulaya,Waliowekeza UK wengi ni kutoka USA,nk.Huwezi zuia kuliwa Madaraka si kitu cha kudumu utaondoka watakula, Ticha kazuia Kwa uchungu Kwa miaka 27 alipotoka tu wakaanza gawana raslimali zetu tena live akiwa bado hai, aliowaita makaburu, mabeberu ndio wakaja kivingine Kwa jina jingine la wawekezaji, wakalamba wakasomba,Huwezi mkimbia beberu utamfukuza atakusubiria hana haraka mda wako ukiisha ataingia shambani tena, dunia inategemeana hizi raslimali si zetu sisi ni watunzaji tu maana wao ndo wenye soko,mbaazi,dengu,choroko nani atanunua mnunuzi mkuu tulimpima mkojo kumkomoa kumdhalilisha sasa anaeadhirika na kupiga miayo ni nani wao au wakulima wetu,maana wao ununua nchi zingine Kwa kusema tuone.Miradi mingapi halmashauri ngapi zimeathirika kimapato Kwa kuwakimbiza wawekezaji migodini,Mashambani.Ukitaka kula lzm uliwe,china ,USA, uk ,India,nk zimeendelea Kwa kuliwa,madini yetu,mazao yetu kama tunaogopa kuliwa hayana thamani utamuuzia nani.Hakuna masikini atakaeweza vita vya kiuchumi ni lzm aombe poo.
 
Mabeberu ni lugha ya kizamani sana. Ilitumika wakati wa vita baridi, Tanzania ikifuta siasa ya kutofungamana na upande wowote. Walau tulikuwa tunajua maana yake. Leo Mabeberu lina maana gani? Mbona viingozi waliopo madarakani Tz pia ni mabeberu? Beberu kama la mbuzi tu, mbona wakuu wa mikoa, wilaya nimabeberu tu?

Baada ya kushindwa kujitegemea kiuchumi baada ya mbwembwe za kuwafukuza wakoloni, ikatumika lugha nyingine ya kupambapamba sie tuliosoma historia isionekane tumebugi wakaamua kuwaita wawekezaji Lkn ndio huyohuyo beberu ni kubadilika Kwa majina kulingana Na zama.
 
Huwezi ukawachukia matajiri, Kwa kuwataka waishi kama misukule utadhani we ndo mgawa riziki then ujenge uchumi wa viwanda, uchumi wa viwanda Na itikadi za kijamaa ( monopolization kuuwa sekta binafsi Kwa Kusomesha watu namba) ni mbingu na ardhi hizi ni Sera zisizoingiliana kabisa.Ujamaa ni kuwataka watu wawe mashetani hizi ni nadharia zitumikazo kama nia ya mtawala lengo lake ni kuzalisha masikini ili iwe rahisi kuwatala hizi utumika nchi za kishenzi uncivilized country kama north Korea, Na enzi ya China ya ushenzini China ya dikteta mao, pia kwenye nchi za kifashisti kidikteta.Ili uchumi wa viwanda uwe Kwa vitendo ni lzm uruhusu uchumi uzunguke, usiue sekta binafsi ndio injini ya uchumi,lzm kuwepo Na kodi rafiki chukua kidogo kwa wengi lkn kingi kuliko kuchukua kikubwa lkn mwakani utopata tena mlipa kodi atakuwa amefilisika,jenga mahusiano mazuri na wawekezaji ndio wanaviwanda wenyewe,uchumi wa viwanda ni ngumu kufanikiwa kwenye marufuku Na makatazo yasiyofata sheria leo unakuta DC tu au kada ajui Abc yeyeto kuhusu uchumi na uwekezaji na macamera show yao anampiga biti investors ili apate kiki wkt angeziachia mamlaka husika yeye apewe taarifa tu za utekelezaji wa maagizo yake,hii uonekana dunia nzima, kama mtu anapimwa mkojo wanaambiwa wanawezafanywa chochote,mara kesho marufuku kuingiza au kusafirisha hiki nani mwenye akili timamu ata risk mtaji wake kuwekeza pasipo Na utawala wa sheria,maamuzi ya mtu ndio sheria.Bado atujawa siriasi na uchumi wa viwanda.
 
Wewe naona unaandika ndoto zako.

Hivi ni madini gani ambayo mpaka sasa yanachakatwa nchini? Msipende kuandika uwongo.

Utawezaje kujenga uchumi wa viwanda wakati huo huo ukawachukia wanaoweza kujenga viwanda? China tunayoisifia leo, imeruhusu hao ambao tunawaita sisi mabeberu kuwekeza kwa kiwango kikubwa ndani ya nchi yao. Katika makampuni 10 makubwa kabisa nchini China, ni moja tu ndiyo kampuni ya China. Makampuni mengine yote ni ya wazungu. China mpaka leo wanazunguka Ulaya na America kutafuta wawekezaji, sisi tunawafukuza kwa kuwa nni mabeberu, halafu utegemee kujenga uchumi wa viwanda?

Rais wetu ni sawa na dereva wa gari anayekanyaga accelerator ili gari ikimbie huku amekanyaga brake mpaka mwisho.

Rais ana matamanio mazuri lakini hana mipango wala mbinu sahihi.

Kwahiyo ulitakeje ? Tuwaache wachukue madini wanavyotaka, gesi wanavyotaka namengineyo, sina hakika kama China wana makubaliano ya uwekezaji kama ulivyo Afrika, ebu tusaidiane tufanyeje? Tupe njia tukuelewe, tuache wawekeze wanavyotaka ?
 
Sote tunajua ccm ilishakufa tangu 2010 kwa bara na visiwani tangu 1990
 
Back
Top Bottom