kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,011
- 11,942
Wawe masikini ili mfanane au sioHii nchi watu walizoea sana kuiba tena peaa nyingi tu acha awanyooshe tu.
Wawe masikini ili mfanane au sioHii nchi watu walizoea sana kuiba tena peaa nyingi tu acha awanyooshe tu.
Tatizo la Viongozi aina ya Nyerere ni kuamini kuwa maono yao ni sahihi.
Wafanyabiashara wamepitia madhila mengi sana tangu awamu ya kwanza kwa baishara na kampuni zao kutaifishwa, nyumba kutaifishwa, mpaka ilifikia wakati wa operesheni maduka yaani mtu anaitwa mhujumu uchumi kwa kuwa na boksi moja la sabuni.
Matikeo ya hali hiyo yalipelekea bidhaa kupotea madukani! Watu wakavaa magunia kabla ya kuruhusiwa nguo za mitumba.
Uongozi wowote ambao unatafuta watu wa kuwaangushia jumba bovu kwa kushindwa kwake kuja na suluhu ya matatizo ya wananchi ni uongozi usiofaa. Shime watawala wasiturudishe nyuma.
Tunashida ya ufikiriaji wa ufumbuzi wa changamoto zinazotukabili "reasoning and prioritize" plus "technical know who" hii iliwahi kuitokea TANESCO wakaajili Network solutions kuwasaidia menejimenti...Maswala ya uchumi duniani kote Yana kanuni zake ..ukitaka kuharibu uchumi basi Anza kupeleka mambo kipolisi polisi..
Mara kodi hazieleweki
Mara account zimekuwa freeze za wafanyabiashara ...
Mara Kodi mpya hadi za wanaofuga kuku wawili majumbani..
Mara hiki mara kile..
Mazingira yakishaanza Tu kuwa 'unpredictable' .. kinachofata watu hukimbia na pesa zao..
Wengine watakaa nazo majumbani wakiona hata Bank hakuna usalama
Wengine wataacha kuanzisha biashara mpya..wakihofia Hali hii ya kutotabirika..
Wengine wata wekezs nchi za nje na nchi jirani.. mwisho WA siku uchumi utaporomoka tu..
Cha kushangaza Tanzania tuliwahi fanya haya makosa Sana wakati wa Nyerere..
Why yanajirudia?
Washauri wanafanya kusudi Rais achukiwe apewe lawama???
Umenikumbusha wahindi kutupa mGunia ha frdha, Nguo na ikafuatia RTC, Nikaa mdogooo. Ili uishi ukitakiwa kuwa na wangu wa karibu sana RTC, POLISI NA HOSPITAL. HAPO UTAPATIA. LKN PIA WAGAMBO WALIKUWA WABABE SANA.
KWA SASA UZURI WAPIGA ZUMARI NA WAPINZANI SOTE TJNAHUSKKA KWENYE DUKA LA MANGI. TUSITUDI KULE MWANZONI MWA 1080S
DINGI HUNA MENO AU NDO UMEANDIKA NINI HIKIUmenikumbusha wahindi kutupa mGunia ha frdha, Nguo na ikafuatia RTC, Nikaa mdogooo. Ili uishi ukitakiwa kuwa na wangu wa karibu sana RTC, POLISI NA HOSPITAL. HAPO UTAPATIA. LKN PIA WAGAMBO WALIKUWA WABABE SANA.
KWA SASA UZURI WAPIGA ZUMARI NA WAPINZANI SOTE TJNAHUSKKA KWENYE DUKA LA MANGI. TUSITUDI KULE MWANZONI MWA 1080S
Mambo ya 'Urgency Notice'...Hadi banks sio safe tena
Account freezing ni anytime wakiku target
Jiwe haambiliki kila kitu anafanya mwenyewe kwa kutumia akili yakeMaswala ya uchumi duniani kote Yana kanuni zake ..ukitaka kuharibu uchumi basi Anza kupeleka mambo kipolisi polisi.. Mara kodi hazieleweki
Mara account zimekuwa freeze za wafanyabiashara ...
Mara Kodi mpya hadi za wanaofuga kuku wawili majumbani..
Mara hiki mara kile..
Mazingira yakishaanza Tu kuwa 'unpredictable' .. kinachofata watu hukimbia na pesa zao..
Wengine watakaa nazo majumbani wakiona hata Bank hakuna usalama. Wengine wataacha kuanzisha biashara mpya..wakihofia Hali hii ya kutotabirika..
Wengine wata wekezs nchi za nje na nchi jirani.. mwisho WA siku uchumi utaporomoka tu..
Cha kushangaza Tanzania tuliwahi fanya haya makosa Sana wakati wa Nyerere.. Why yanajirudia?
Washauri wanafanya kusudi Rais achukiwe apewe lawama???
4 au moja kwa moja mzee. Hii ngoma ni mpaka 30 mkuu.Nadhani magufuli Aendelee kukaza kamba ili mfe.
Ndo mtakuwa na akili.
alafu Leo ndo mwisho wa mwaka.
Tunaingia mwaka wa 1.bado Kama 4 hivii.
.
Ni risk Sana kuweka pesa yako bank kwenye Utawala wa kijamaa utaambulia Presha.Hadi sasa ni matajiri sita wakubwa wamekufa ndani ya awamu hii ni pigo kubwa Sana kiuchumi.Hadi banks sio safe tena
Account freezing ni anytime wakiku target
Wawe na discipline ili tufanane au wawe wezi ili wafanane na ww.Wawe masikini ili mfanane au sio
Acha awanyooshe. Walizoea kuiba.Ni risk Sana kuweka pesa yako bank kwenye Utawala wa kijamaa utaambulia Presha.Hadi sasa ni matajiri sita wakubwa wamekufa ndani ya awamu hii ni pigo kubwa Sana kiuchumi.
Uelewa wa watu wengi wa Transformation ni mdogo ikiwemo mleta mada na wanao muunga mkonoMaswala ya uchumi duniani kote Yana kanuni zake ..ukitaka kuharibu uchumi basi Anza kupeleka mambo kipolisi polisi..
Mara kodi hazieleweki
Mara account zimekuwa freeze za wafanyabiashara ...
Mara Kodi mpya hadi za wanaofuga kuku wawili majumbani..
Mara hiki mara kile..
Mazingira yakishaanza Tu kuwa 'unpredictable' .. kinachofata watu hukimbia na pesa zao..
Wengine watakaa nazo majumbani wakiona hata Bank hakuna usalama
Wengine wataacha kuanzisha biashara mpya..wakihofia Hali hii ya kutotabirika..
Wengine wata wekezs nchi za nje na nchi jirani.. mwisho WA siku uchumi utaporomoka tu..
Cha kushangaza Tanzania tuliwahi fanya haya makosa Sana wakati wa Nyerere..
Why yanajirudia?
Washauri wanafanya kusudi Rais achukiwe apewe lawama???
Kuna kitu ambacho hukijui kuwa mfumo wa Maisha na kiuchumi aliyoweka Nyerere alijaribu kuweka system za UK,Wewe ndo una akili ndogo sana..
Account freezing ya USA inafanywa kiholela?
Kwa mfanyabiasharra yoyote bila kupitia mahakamani??
Unataka kuniambia leo serikali ya USA inaweza kufanya account freezing Kwa Microsoft au Google bila hata mahakama kusema???.. jidanganye hivyo hivyo..
Unamsifia Nyerere alivyoharibu uchumi?
Hadi watu wakapanga foleni za sabuni?
Wewe endelea kujielewesha mifumo inayo chochea maendeleoWe endelea kula bata tu kwa vigeregere na mapambio
4 au moja kwa moja mzee. Hii ngoma ni mpaka 30 mkuu.