Life.co.tz
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 639
- 368
Daaaah Afadhali umeleta hoja Chanya...
Mie mwenyewe nimeshangazwa kweli...
Mie mwenyewe nimeshangazwa kweli...
Base ya hoja yako iko vizuri na imeeleweka.Bado hatujajua kesi ya samaki iliishaje halafu unatutonesha vidonda. Watu wanaipenda nchi hii sana ndo maana wanajaribu kusaidia viongozi kwa kutumia vifungu vya sheria za kitaifa na kimataifa ili kusaidia. Hebu fikiria kese tulizo nazo mahakamani kwa sasa kuhusu hii mikataba Mlau wewe kama ni mwanasheria tusaidie bila kuwa biased na mambo ya siasa maana wengine siasa na sisi mbali mbali. How are you going to win the appeal of masamaki and then win Tannesco and now the accasia while it was our government which endosed all these bogus contracts and signed them. Waliosign ni majini?
Tusiingize siasa ktk mambo ya msingi ambayo siyo ya siasa.Kama kivuko kilinunuliwa na hitilafu nadhani kitengo cha ununuzi cha wizara husika kinatakiwa mujibu hilo.Kwani alipopiga Bilioni nane na kuleta kivuko kibovu aliwafikiria Watanzania au tumbo lake??
UVCCM bwana poleni.
itakuchukua muda gani kuielewa hiyo koment yangu..? bado unahitaji shule na mi sio mwalimu!Ninani aliyewaleta hao WEZI na nani aliyepitisha Mikataba ya hovyo.....hao unajifanya huwajui?, huyo Shizonje alikuwa wapi kipindi hicho?, Anasemaje kuhusu mi hiyo mikataba? Mbona haiweki mezani anaichungulia vichochoroni?.
Wao wenyewe ndio wameleta majanga yote haya....
Kwani wakati yanapitishwa wao hawakuwepo....?
Nikisema kijiko ni koleo , nitajirekebisha nisiseme nonsense! Kijiko sitakiita koleo!Unaonaje ukitumiwa Meseji kama hiyo na wewe!!
Inamaana huamini kama tunaibiwa?Ni bora kuwa wawazi kuliko kujidanganya na mambo hewa!I am 100% confident kuwa taarifa ya tume si sahihi!
Ni makosa yanayoambatana na usaliti wa nchi yakoNonsense, unajua uhaini ni nini?
1.Uamuzi wa mahakama ndio unanipa uhakika kuwa walistahili kulipwa fidia!Au uhakika ulitaka niupate wapi?Kama mahakama huiamini,unataka uhakika kutoka chombo kipi?Je,wewe una uhakika pasi na shaka kuwa alihamishwa wizara ili atafutiwe kashfa?????Usije ukawa unaomba kupewa uhakika wakati wewe mwenyewe unaleta story za vijiweni1. Unauhakika gani usio na shaka kuwa waliolipwa fidia ya sakata la samaki walistahili malipo hayo?
2. Na kama aliyekuwa waziri mwenye dhamana(JPM) alikurupuka mbona na kusababisha hasara kiasi hicho mbona hakuchukuliwa hatua yoyote?
Unapojibu maswali yangu hayo zingatia yafuatayo;
- utawala wa awamu ya nne viongozi waliowengi walikuwa mafisadi akiwemo JK mwenyewe
- viongozi wazalendo akiwemo JPM hawakupendwa kutokana na misimamo yao ya kulinda rasilimali za taifa hivyo waliwindwa kila kukicha(kumbuka JPM alikuwa akihamishwa wizara bila sababu za msingi hata kama utendaji wake ni vizuri ili atafutiwe kashfa)
Sina haja ya kuprove kwako,ila elewa tu hivyo!Subiri majibu ya tume ya pili(kama watukwa na guts kutoa report hadharani)!Proof kwamba uko 100% sure kwamba taarifa ya tume si sahihi vinginevyo tunakufungulia mashitaka kwa kosa la uhaini
Kuibiwa ni suala lingine na taarifa ya tume ni jambo jingine!Inamaana huamini kama tunaibiwa?
Thibitisha kama 'alikula bilioni nane' ukishindwa tunakufunga kwa kosa la uchocheziKwani alipopiga Bilioni nane na kuleta kivuko kibovu aliwafikiria Watanzania au tumbo lake??
UVCCM bwana poleni.
Waliwaona mmekosea tangu mwanzo ndiyo maana waliwaambia mikataba ni mibaya na miswada inayopitishwa bungeni si rizki hamkuwasikiliza, wakatoka nje ya bunge kushinikiza mkawabeza na kuwazomea, sasa mjue wote ni WaTz na nchi hii inamuuma kila moja.Ni lini ukaiweka nyuma nchi yako hata kama njia inakosewa, unatakiwa kujua lengo kuu hasa ni mini na hata kama ni kukosoa na kushauri si kwa aina hii mnayoitumia. Tunashindwa kuwaelewa wenzetu nyie ni watanzania wa wapi. Kukosea kupo ndo maana tunakosea lakini haikupi nafasi ya kukashifu na kuponda kama zezeta, vi siasa hivi uchwara visiwafanye mkafika sehemu ya kuiona nchi yenu kama kinyesi.
TISS wanaotoa taarifa ya kila jambo linavyofanyafika wapi,na nani na muda gani with evidence hapo ni issues chini ya Ofisi ya Rais ya kuamua waanzie wapi.Mimi TISS Si wezi kuwalaumu Hata Mara moja kazi wanafanya vizuri tu.Swala ni kuwa vyombo husika vilikuwa wapi wakati haya yakitokea? Au sensor zao ni active kwenye mikutano ya opposition parties pekee? Watawala walikuwa wapi? Nini kitafanyika kwa wahusika ambao tumeapa kuwatetea kwa nguvu zote?